Labda cm yako Ina virus ila mtandao upo fast mno internet yao kiboko ila wameanza kawizi fulan hiviNadhani itakuwa imepata wateja wengi, maana nina kama dkk 10 tu nimeitoa line na kuweka voda, mtandao uko chini sana, labda ni leo tu.
Labda cm yako Ina virus ila mtandao upo fast mno internet yao kiboko ila wameanza kawizi fulan hivi
Mkuu mimi kwangu ni kama wiki na ushee sasa upo hivi,natumia tu kwa ajili ya bundle lao tsh500 wanakupa mb600 kwa wikiNadhani itakuwa imepata wateja wengi, maana nina kama dkk 10 tu nimeitoa line na kuweka voda, mtandao uko chini sana, labda ni leo tu.
Labda kwa Leo ila wap vizuriMi natumia kwenye modem, leo siwaelewi elewi.
maybe hali ya hewaNipo dar mkuu ila mbona nilikua natumia fresh tu nashangaa sa hivi sijui imekuaje
Dah halotel sasa mumezidi,yani mtandao umekua na spidi mbovu kupita kiasi mpaka kubrowse tu imekua shida na kustream ndio usiseme yani utakuta buffering kibao.Hivi tatizo lipo wapi wakuu maana kipindi cha nyuma halotel ilikua na speed amazing sana kwenye simu yangu sasa sijui sa hiv tatizo ni nini,nimejaribu kutumia access point zote hizi ila haijasaidia kitu View attachment 419101
Mmmh mbna me Leo kutwa nzma nimeshinda YouTube natizama documentaries na mtandao ulkua fresh japo sio km zaman(wakat unaanza) mpk ikanibid nipunguze quality ya videosinaonekana tatizo lilikuwa nchi nzima, leo mchana nimesumbuka sana kudownload nikaamua kuacha
hapana umekaririr sasa wameanza kusuasua na kukatakata kila mdaLabda cm yako Ina virus ila mtandao upo fast mno internet yao kiboko ila wameanza kawizi fulan hivi