Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,130
- 174,030
Tigo na Voda nio baba lao katika utapeli wa MB, halotel nae ameanza kufuata nyayo
Tigo na Voda nio baba lao katika utapeli wa MB, halotel nae ameanza kufuata nyayo
😂😂😂😂😂😂😂 hhhhhhh we mrembo umenichekesha kwl, sio kwa huo msisitizo hhhhhh! Inaonesha umeliwa sana na majambazi wa mtandaoni hawa!Ila Tigo kiboko weeeeeee washenzi wale sijawahi kuona jamani looool
Sent using Jamii Forums mobile app
Internet ndio maisha kwa sasa, hamna raha kama kupata habari in real-time. Sasa ukiacha net basi urudi zama za mawe za kununua magazeti.Mkuu mbona una hasira!
Inategemeana na maeneo uliyopo!
Infact nchini Tanzania kila mtandao una changamoto zake.
Ukitaka kuzikwepa zote sahau kusuhu internet.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tigo wanakula bundle Mungu hapendi ila cha kushangaza nimeanza kutumia bundle lao this week naona mambo si mabaya sana angalau Sijui wamejirekebishahhhhhhh we mrembo umenichekesha kwl, sio kwa huo msisitizo hhhhhh! Inaonesha umeliwa sana na majambazi wa mtandaoni hawa!
Tigo ukiona wameanza kuwa peti peti ujue mliwakimbia sana. Wataanzisha offer ili muwaone watu baada ya miezi 6 ni kilio! Ndio zao hao, Zantel walikuwa wanatu baby sit tukazoea ila tayari washabadilisha gia angani, sahivi unanunua GB kwa ajili ya siku 3 ukiingia insta tu umeisha, data inaenda kasi kama maji ya mtera ila ukitumia kwingine kama jf, twitter au youtube haili sana.Tigo wanakula bundle Mungu hapendi ila cha kushangaza nimeanza kutumia bundle lao this week naona mambo si mabaya sana angalau Sijui wamejirekebisha
😁😁😁😁maji ya mtera
Ahahahahah kwakweli kwenye kesi ya bundle tunafirisika sanaTigo ukiona wameanza kuwa peti peti ujue mliwakimbia sana. Wataanzisha offer ili muwaone watu baada ya miezi 6 ni kilio! Ndio zao hao, Zantel walikuwa wanatu baby sit tukazoea ila tayari washabadilisha gia angani, sahivi unanunua GB kwa ajili ya siku 3 ukiingia insta tu umeisha, data inaenda kasi kama maji ya mtera ila ukitumia kwingine kama jf, twitter au youtube haili sana.
Sema ni uzwazwa tu wa watanzania. Internet ni accessory muhimu sana maana inarahisisha productivity apps ziweze kuwa na ufanisi zaidi halikadhalika Communication iwe rahisi sasa sijui kwanini mitandao inakomaa na madakika mengi ya mtandao wao kuliko cross networks na kufinya bundle za internet ili mteja aumie.Ahahahahah kwakweli kwenye kesi ya bundle tunafirisika sana
Voda ni mtakuja..nimejaribu mitandao yote ila voda bado ni baba lao!!Huo mtandao ni ovyo saana nafikiria kurudi Voda