Halotel ni ya kawaida sana siku hizi

Halotel ni ya kawaida sana siku hizi

jamani hii mitandao yote huwa inafanana in terms of kula ma bando yetu mana ndiko wanakupatia faida, ukiona huliwi sana ujue anatafuta wateja akishawapata, mtajua kumfahamu ndo mana me huwa sishoboki mtandao ukianzishwa najua mwisho wa siku ya yale yale tu
 
Mimi pamoja na kuziona sifa zao nyingi hata humu but sikutaka hata kununua line yao, bado nipo na zile zile za zamanai though Voda wanazingua sana tena sana, wanaiba mno, airtel wapo vizuri zaidi
 
Back
Top Bottom