Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 620
Tatizo la halotel ni kuuza special namba bei ghali hata kwa namba ambazo kiasi fulani za kawaida. Wabadilike kwa hilo
Hapa Arusha ndugu,niliwahi kwenda wakaniambia milioni 2, kisa imejirudia mara mbili mwishoni mfano :.....8080,,leo nimeenda wameniambia elf 20,nimelazimika kuchukua namba ambayo sio speshowapi huko? Maana me special number niliipata ofisini kwao kwa sh elfu tatu tu.
Najiunga Na cha 1000, elfu moja cha speed bila kikomo naangalia mechi 2
Hapa Arusha ndugu,niliwahi kwenda wakaniambia milioni 2, kisa imejirudia mara mbili mwishoni mfano :.....8080,,leo nimeenda wameniambia elf 20,nimelazimika kuchukua namba ambayo sio spesho
pole sana
Mbona nimi nimepewa kwa elf 2 tuHapa Arusha ndugu,niliwahi kwenda wakaniambia milioni 2, kisa imejirudia mara mbili mwishoni mfano :.....8080,,leo nimeenda wameniambia elf 20,nimelazimika kuchukua namba ambayo sio spesho
aiseee itakua minala ya jeshi inakupa tafu kidogo me nipo magomeni mrocco hata 1mbps sijawahi kuiskia mkuuMakongo Juu Mkuu
Unaeza ukawa na line ya 4G lkn simu yako icwe inasapoti......so angalia pia na simu yako10, 000 ya nini...ukishakua 4G umemaliza kila kitu....mm line ya 4g nilichange bure na bundle ni za kawaida.
ila.sijui kama now wanacharge ama vp
ila all in all 4G ya tigo iko vizuri
....kama vipi mje Kipatimu huku kilwa maana airl ndo inaptkna tu tena chini ya mnara zaid ya hapo hakuna...naomben sana mwaka huu mfike huko.Nb nmeachwa na mchuchu coz cpatkanagpamoja sana mkuu. endelea kusambaza Sumu ya halotel hadi tigo, voda na mobitel waombe poo!
Umeonaeee,hawa jamaa ni noma.Yaan hawa jamaa ni wa ukweli yaan wako fasta kitu ya mb 800 nadownload dk 15 tu yaan ni hatareeeeee
Voda na airtel mkasomeeeeeeeeeeeee