Halotel ndio mtandao dhaifu zaidi kwenye huduma ya Internet kwa sasa

naomba niulize Halotel wana night bundle kwa n ni GB ngapi? Maana Airtel wamesha bana mrija ni majanga kwa sisi team popo!
 
wewe sijui unatumia halotel gani..! halotel wako vizuri sanaa mkuu nina lain mbili kweny simu yangu vodacom na halotel ila halotel huwa inaniokoa sana upatikanaji wa huduma za internet huwa ni mzuri
 
Kwangu halotel imeanza zingua siku hizi za karibuni siku zote ilikuwaga poa kabisa na nipo town sijahama mji wala nini
 
Nilikua nawapa 10000 kila mwezi sasa ninewahama ,nimehamia Tigo nao wameanza kuzingua ,bandwidth ni 3.2kB/s mpaka 0kB/s ,na wao nawahama soon.
 
Kwangu halotel imeanza zingua siku hizi za karibuni siku zote ilikuwaga poa kabisa na nipo town sijahama mji wala nini
mkuu halotel kwangu wako njema yani kwa kifupi nawafaidi hamn sehem ninewah kwend wakaniangusha kuna siku nilienda maeneo ya porini uko yani voda walikuwa chali mara bar moja mara inapotea ila halotel ni h+ inakwenda vizuri mno hawa jamaa sijawah kuwajutia kutumia huenda labda na eneo ulipo hawajazingatia ila wakiamua wana net bomba sana
 
Labda kwa eneo langu wamezidiwa mkuu
 
Back
Top Bottom