Halotel ndio mtandao dhaifu zaidi kwenye huduma ya Internet kwa sasa

korokwincho

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
447
500
Ni za zamani zaidi, LG g8x ama op7 ni bora zaidi kushinda hizo kila idara.

Na hizo hapo note 9 inakaa na chaji zaidi.

S10/note 10 ndio equivalent ya op7 na lg g8x.
Asante lakini LG upande wa mobile division si wameshut down? Vipi simu itapata wapi support kma inahitajika kufanya hivyo??

Aliexpress nyingi wanauza refurbished vipi zinafaa?
 
PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
15,665
2,000
Hii ni mbps ambayo 15Mbps ni sawa na roughly 2MBps. Unagawanya kwa 8.

Mkuu sijajua eneo ila kuna simu hazina hizo tech,

Line yangu ya Halotel imezingua ila ningetest kuangalia, nikipata muda nitasajili nyengine.

Kifupi mtu mwenye simu yenye Mimox2 ama mimox4 anaweza kuwasiliana na antenna 2 ama 4 kwa mpigo na zikazidisha speed anayo pata.

Pia ukiwa na simu ya lte Advance (4G+) ina maana unakuwa haushei mtandao na wenzako wa 4g kawaida, mnakuwa wenyewe wa 4g+ hivyo pia load ya network inakuwa ndogo ukiwa na tech za kisasa.
Samsung A series zinahiyo tech ?
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,602
2,000
Asante lakini LG upande wa mobile division si wameshut down? Vipi simu itapata wapi support kma inahitajika kufanya hivyo??

Aliexpress nyingi wanauza refurbished vipi zinafaa?
ndio ila wamepromise kuzi support mpaka muda wake utakapoisha. ndio maana pia unazipata simu zao kwa bei rahisi sababu wengi wana clear stock. sometime unapata lg g8x mpya kabisa kwa $300 unafungua mwenyewe box.

kuhusu Aliexpress mkuu nunua at your own risk, hakuaminiki kabisa hasa kwa vitu ambavyo asili yake sio china.
 
korokwincho

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
447
500
ndio ila wamepromise kuzi support mpaka muda wake utakapoisha. ndio maana pia unazipata simu zao kwa bei rahisi sababu wengi wana clear stock. sometime unapata lg g8x mpya kabisa kwa $300 unafungua mwenyewe box.

kuhusu Aliexpress mkuu nunua at your own risk, hakuaminiki kabisa hasa kwa vitu ambavyo asili yake sio china.
Unashauri wapi pakuagiza mpaka tanzania?
 
Kibukila

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
832
250
Mtoa mada hata sikuelewi.Hii ni speed ya Halotel 4G hapa Kasulu.Sidhani kama kuna mtandao mwingine unaifikia hii speed.

WhatsApp Image 2021-06-09 at 19.55.59.jpeg
 
t blj

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,355
2,000
Mtoa mada hata sikuelewi.Hii ni speed ya Halotel 4G hapa Kasulu.Sidhani kama kuna mtandao mwingine unaifikia hii speed.

View attachment 1813483
Nafikiri inatokana na sehemu ulipo, unajua tuliambizana kuwa halotel ina unafuu wa bundles , inawezekana wengi walinunua line za halotel na hivyo kuna msongamano baadhi ya maeneo
Huwa napata speed kama hiyo nikiwa kibaya kiteto
 
Mtali

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
2,899
2,000
Huku niliko speed ya 4G iko vizuri sana 8Mb/s..... Inafanya vizuri sana. Kwasasa wameimprove sana.
 
Kibukila

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
832
250
Inategemea na sehemu uliyopo mkuu, Halotel 4G inapatikana mjini pekeake(Kigoma road),ukifika Sofya na kushuka chini ni mwendo wa 3G na sehem nyingne ni E
Wiki iliyopita wameongeza mitambo ya 4G kwenye minara mingine.Kutokea Sofya,stand mpya mpaka kwa Shayo kote ni 4G.Pia Mwilavya inapatikana.Hii speed nimepata jana hapa Halmashauri ya mji signal ziko juu sana hapo.

WhatsApp Image 2021-06-16 at 07.43.22.jpeg
 
korokwincho

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
447
500
Highlife vitu vyake ni vipya sio refurb, ila bei zake zimechangamka.

M51 ni equivalent ya A52 ama A71, unless u nahitaji hio 7000mah ni vyema ukanunua A52 maana ni simu bora zaidi.
Tatizo sijapenda hzi A series zinasemekana zina majnga sana

Na wapi unaweza pata simu za samusung new brand tofauti na hao highlands kwa bei nafuu kwa hpa Tz?
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,602
2,000
Tatizo sijapenda hzi A series zinasemekana zina majnga sana

Na wapi unaweza pata simu za samusung new brand tofauti na hao highlands kwa bei nafuu kwa hpa Tz?
M series na A series ni wale wale Mkuu, M51 na A71 ni simu ile ile imekuwa tu rebranded.

Angalia hapa

A series kuanzia za 50 kupanda kama A50, 70, 80 etc zina quality kiasi chake.

A52 Ina OIS na water resistant features ambazo unazikuta kwenye flagship.

Huwezi pata M series official hapa Tanzania ila A series zipo tembelea mawakala kama Jmall kule utapata na warranty, pia kulikua na Code ya kusajili simu kama ni official toka Samsung na inapaswa kuuzwa kwetu,

Namba ilikuwa 15685

Formati ya msg ilikuwa *sajili*imei# hilo neno imei unareplace na imei yako.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom