Halotel naona wamebugi (Huduma ya vifurushi)

Kaputupu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,486
Reaction score
1,179
Kwa mtandao unao anza naona hapa wamebugi.... Sikutegemea kama watakuwa na vifurushi vya style hii.... Binafsi kwangu wacha nibaki hapa nilipo... Sijui kwa wengine...
 
Attachments

  • 1445628966627.jpg
    1445628966627.jpg
    46.3 KB · Views: 1,786
Line tu sijui voucher zimapatika wapi nimetafuta hamna kwetu morshi bar gongolamboto
 
Kwa mtandao unao anza naona hapa wamebugi.... Sikutegemea kama watakuwa na vifurushi vya style hii.... Binafsi kwangu wacha nibaki hapa nilipo... Sijui kwa wengine...

Hata mie sina haja nao,kwanza wameniuthi sana kutokufunga 3g ktk mnara wao ninaotumia mimi tofauti na mbwembwe zao kabla kwamba wao hawatakuwa na 2g wala edge sasa mbona yamekuwa yaleyale.ngoja niwapotezee mimi
 
Yaani Nilipita Duka Fulani hivi wamefungua Huku Maeneo YETU.. Watu wanaingia Na Kutoka Tu.. Huku wamekunja Sura.. Yale yalw
 
Intenet yao iko vzur kwa kwel..ila tu vocha ndo bdo ..nliponunua line nlinunua na vocha za elf kumi ndo izoo znaishia kla siku nikienda dukan naambiwa hazijaja...tuwape Muda pengine watu wanarudisha kwanza hela zao za kampeni
 
Baada ya kuahidi bei poa! Wakongwe waliingilia kati hivyo Viatel kalazimishwa kuwa tarriff zake zisiwe za chini sana kama walivyokuwa wamepanga na kama walivyofanya mozambic mpaka leo watu wanakula raha.Sasa kwa vile tz % kubwa ya mashirika inamilikiwa na vigogo na halotel ndani kuna vigogo aaah wameamua kuendelea kutukamua wa Tz.Nina hakika hata TTCL wakiingia na 4G yao bei haitakuwa chini.Ngoja tusubiri!!!
 
Sijawahi ona nchi ambayo mobile data Ni bei rahisi kuliko Tanzania. Ilaumu serikali mtakavyo lakini mobile data si suluhisho la internet na haina sifa hio.

Nchi zote zilizoendelea wanatumia aina nyengine za internet wakiwa majumbani na maofisini na hutumia mobile data pale tu ambapo anakuwa mbali na internet yake.

Tunatakiwa tuilaumu na kuihimiza serikali waanze kutupa mkonga wao kwa form nyengine kama anavyofanya simbanet
 
Tanzania haiongozi kwa bei rahisi ya internet, mimi nilipo nina unlimited internet na nalipia approximately Tshs. 30K kwa mwezi mzima na ni full broadband speed kwenye fast servers naangusha hadi kwa 20MBPs. Hizo bei za bongo ni shida tupu, hata wanao-offer broadband kama TTCL kwa mwezi ndo walewale mtu anatoa more than 200K kwa 20GB ambayo inaweza isha within a day.
Hili tatizo naona ni kwa nchi sanasana za africa tu.. Pande nyingine za dunia internet sio shida namna hiyo.
 
Hujasoma comment yangu vizuri nimesema mobile data umesema broadband.

Compare at&t, t-mobile, Verizon, sprint, Vodafone nk pamoja na mitandao yetu utaelewa namaanisha nini.

Tanzania hatuna DSL, fiber, cable internet na zenginezo Hilo ndio lengo la comment yangu
 
Baada ya kuahidi bei poa! Wakongwe waliingilia kati hivyo Viatel kalazimishwa kuwa tarriff zake zisiwe za chini sana kama walivyokuwa wamepanga na kama walivyofanya mozambic mpaka leo watu wanakula raha.Sasa kwa vile tz % kubwa ya mashirika inamilikiwa na vigogo na halotel ndani kuna vigogo aaah wameamua kuendelea kutukamua wa Tz.Nina hakika hata TTCL wakiingia na 4G yao bei haitakuwa chini.Ngoja tusubiri!!!
Mkuu nilijaribu kuzungumza nao,wanaonekana ni woga linapo kuja suala la tarrifs inaonekana kuna shinikizo kutoka kwa wakubwa kwamba tarrifs zao zisitofautiane sana na makampuni mengine ya simu,mimi nilifikiri Tanzania inaruhusu biashara huria kumbe si kweli, kampuni za simu nchini yana ukiritimba wa kushawishi TCRA ikubaliane na matakwa yao,kwa hiyo tusitegemee HALOTEL iwe tofauti na makampuni mengine ya simu nchini,labda tuombe Mungu wakati TTCL ikianzisha kampuni yake iwe tofauti kidogo na wengine,ikatae kuwa bulldosed u-cartel wa makampuni mengine ya simu.
 
Kwa upande wangu naona wamejitaidi saana kwa sababu kijijini kwetu hata edge yenyewe haikuwepo lakini kwa sasa mambo yako vizuri hata niwe uvunguni mkuu H+ ipo simu napiga kwa hyo wamesaidia saaaaaaaaana.
 
Nawasubiri Cricket na Boost Mobile nasikia nao wanakuja bongo na watakuwa na competitive packages. Kwa shilingi 60 elfu tutapata unlimited talk time, texts na internet
 
Hawa jamaa wa ovyo kweli, nini cha kunishawishi ninunue line yao hapo, sioni tofauti yoyote na hawa waliopo.
 
Kwa mtandao unao anza naona hapa wamebugi.... Sikutegemea kama watakuwa na vifurushi vya style hii.... Binafsi kwangu wacha nibaki hapa nilipo... Sijui kwa wengine...

Mbona wantuletea line bila voucher

Obvious naona wamebugi, juzi nimeacha kusajili laini yao manake hivyo vifurushi vyao ni kama hivi vya kina naniii.....

Afu pia niliwauliza vocha, wakadai nitakuwa nazipata ofisini kwao au kwa mawakala....

Nina laini ya voda, Tigo na Airtel.... Sioni haja ya kuongeza ingine
 
Tanzania haiongozi kwa bei rahisi ya internet, mimi nilipo nina unlimited internet na nalipia approximately Tshs. 30K kwa mwezi mzima na ni full broadband speed kwenye fast servers naangusha hadi kwa 20MBPs. Hizo bei za bongo ni shida tupu, hata wanao-offer broadband kama TTCL kwa mwezi ndo walewale mtu anatoa more than 200K kwa 20GB ambayo inaweza isha within a day.
Hili tatizo naona ni kwa nchi sanasana za africa tu.. Pande nyingine za dunia internet sio shida namna hiyo.

Wireless internet ni cheap ughaibuni kuliko Tanzania na imesambaa sana.

Kwetu data ni gharama sana kwa wale wenye matumizi makubwa ila kama huna matumizi makubwa huoni shida.

Kwa siku natumia arround 2 GB kwa simu tu, hapo sijaweka PC.
 
Mimi naishukuru Halotel imenisaidia nipo kijijini na ninapata 3G kwa halotel wakati mitandao kongwe bado wana Edge tena ipo slow sana.
Yaani ilikuwa nikitaka ku dawnload kitu hadi niende town.
 
Back
Top Bottom