Wamenisaidia mm wa kijijin now na access Internet fresh kabisaa
kwa kwel chiefSio wewe tu sasa hv naona raha ya kuwa na simu yangu, Edge ilikuwa inanimalizia chaji tu unafungua kitu dk zaid ya tano.
Halotel sikuhizi kasi yao imeisha na ni Edge most of the time wameniudhi mimi mkazi wa kijijini maana walikua kimbilio langu ila wanaboa....... Internet yao ya kasi zaidi wanatoa mb 800 zikikata sspeed inayokuja hata kobe na kinyonga wana speed yani kifupi huwezi fanyia kitu. Bado hawajafikia kwa Vodacom na Unlimited yao ya 1000. WANA SAFARI NDEFU SANA KAMA KWELI WANATAKA KAMATA SOKO LA INTERNET BONGO.