HALOTEL, Nadhani mmefikia ukomo wenu wa kutuhudumia wateja wenu ambao tuna matumizi mazuri ya Internet

147800077ab1efafa26cb21ac93c7d63.jpg

Voda : Ya kwako tu
 
TTCL wajiandae kunipokea soon
walinifrustate...nilpoenda sehemu za vijijini...hata kwenye edge wave hawapatinaki. Yaani nilinunua line kwa moyo mmoja nikijua naichangia serikali yangu moja kwa moja. Waongeze upatikanaji wao nchi nzima bila vikwazo. Watu tunahitaji sana kutumia bidhaa za kitanzania. Na kwenye TTCL ninajisikia niko safe.
 
washanifukuza hapa, Tangia juzi kila nikiunga kifurushi cha 500 najiuliza kwann kinaisha fasta kumbe nlikuwa sitilii maanani kusoma kifurushi kimepungua mb 500 hadi 350, Bye Bye Halotel, Hongereni kwa kunipoteza mteja nliekuwa naunga kifurushi cha 2,500 kila siku ili nipate gb 2.5
 
msilalamik san jamani hay_*HALOTEL BUNDLES*_

Sasa jipatie mojawapo ya vifurushi vifuatavyo kwa Tshs *15,000/=*

1: _*GB 15, dakika 650 mitandao yote na dakika 800 halotel.*_

2: _*GB 1.5 dakika 1100 mitandao yote na dakika 300 halotel.*_

3: _*GB 25 dakika 50 halotel tu.*_

Vyote ni kwa muda wa siku 30

_*kwa anayehitaji anicheki inbox/Call*_
0621048582
 
washanifukuza hapa, Tangia juzi kila nikiunga kifurushi cha 500 najiuliza kwann kinaisha fasta kumbe nlikuwa sitilii maanani kusoma kifurushi kimepungua mb 500 hadi 350, Bye Bye Halotel, Hongereni kwa kunipoteza mteja nliekuwa naunga kifurushi cha 2,500 kila siku ili nipate gb 2.5
 
Wapuuzi kabisa hawa halotel leo niweka air time 10,000/- nikitegemea 1GB dk 80 mitandao yote na dk1000 halotel. cha ajabu nimeambulia 6000MB.
duu pole san nitafute_*HALOTEL BUNDLES*_

Sasa jipatie mojawapo ya vifurushi vifuatavyo kwa Tshs *15,000/=*

1: _*GB 15, dakika 650 mitandao yote na dakika 800 halotel.*_

2: _*GB 1.5 dakika 1100 mitandao yote na dakika 300 halotel.*_

3: _*GB 25 dakika 50 halotel tu.*_

Vyote ni kwa muda wa siku 30

_*kwa anayehitaji anicheki inbox/Call*_
0621048582
 
Nadhani mmefikia ukomo wenu wa kutuhudumia wateja wenu ambao tuna matumizi mazuri ya internet, kwa hili bundle la wiki university offer kutoka kwenye dk 15 hadi 10 za mitandao yote hili halikuwa shida sana, ila kutoka 1200MB hadi 800MB, hapa mmegusa mfupa ngoja turudi kwa wahenga Voda dk zetu zile zile na 1GB at least.
Hatari kwelikweli wamepiga parefu sana. Mfano bando la mwezi toka 10Gb mpaka 6Gb.
 
Back
Top Bottom