MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,247
Anafokea wateja wakati ndio wanaofanya awepo hapo.
Wabongo ni Washamba sana kwenye customer caring na Business to Customer relationship kwa ujumla.
Habari wadau
Naomba nijikite kwenye mada husika
Siku chache zilizo pita nilipatwa na bahati mbaya line yangu ya Halotel ikaharibika hivyo nikachukua hatua za kuli-New
Nilifata utaratibu wote ikiwa ni pamoja na kuripoti police .
Cha ajabu ni kwMba pale ofisi ya Halotel-Mwanza ambayo iko pale karibu na round About ya Samaki nilipo ingia nilikuta wafanyakazi wawili kilicho nishangaza nikuona binti anae hudumia (jina kapuni)anafokea wateja km vile ni watoto wake.
Huyu binti ni mdogo mdogo kiumbo anatumia sim aina ya Samsung J 7 km sikosei.
Tunaomba ajirekebishe,Atumie lugha nzuri kw wateja .
Lakini pia waijulishe jamii kua Halotel hawatoi wala hawana huduma ya kuli New line sio kusumbua wateja.
Inawezekana wewe ndiyo tatizo,Binafisi nimemshangaa mno
Kama kuna ukweli hapa. Nimewahi tembelea maduka yao mawili, moja iko Tabata Magengeni na nyingine ipo Morroco jengo lililoko hospitali ya macho ya eye centre. Kote nilikutana na huduma mbovu ya kiwango cha juu.Halotel wahudumu wao wengi hawana customer care.Hii kampuni kiongozi ni mbongo?
Maana watanzania wengi ndo zetu ukiwa kiongozi una tembea na watoto wote wa kike wazuri kwenye kampuni,matokeo yake ndo haya.
No offense,lakini 75% ya sehemu yenye mwanamke lazima kuwe na tatizo
Cheap labourSifahamu hawa halotel wanawatoa wapi hawa wafanyakazi. Shida ipo hata kwa wafanyakazi wao wa kiume!
Kipindi nipo Mwanza, nilienda hapo Halotel ila kwa kweli kama ni yule binti mweupe, ambaye ana kama dred hivi, huyo ni kimeo. Hajali kabisa wateja. Ni kama unamsumbua wakati yupo pale kuhudumia wateja. Na angekuwa mzuri sijui ingekuwaje. Weupe wenyewe wa kujiflash.Habari wadau
Naomba nijikite kwenye mada husika
Siku chache zilizo pita nilipatwa na bahati mbaya line yangu ya Halotel ikaharibika hivyo nikachukua hatua za kuli-New
Nilifata utaratibu wote ikiwa ni pamoja na kuripoti police .
Cha ajabu ni kwMba pale ofisi ya Halotel-Mwanza ambayo iko pale karibu na round About ya Samaki nilipo ingia nilikuta wafanyakazi wawili kilicho nishangaza nikuona binti anae hudumia (jina kapuni)anafokea wateja km vile ni watoto wake.
Huyu binti ni mdogo mdogo kiumbo anatumia sim aina ya Samsung J 7 km sikosei.
Tunaomba ajirekebishe,Atumie lugha nzuri kw wateja .
Lakini pia waijulishe jamii kua Halotel hawatoi wala hawana huduma ya kuli New line sio kusumbua wateja.
Uliyo yasema yote ni kweli mkuu,yani hako ka dada basi tu ila yule bro mwwusi hana shida juzi nimeingia pale kwa mara ya 3 safari ya mwisho nilikuta anacheza karata kwenye desk top wakati watu tupo kwwnye foleni kiukweli niliumia sana.Kipindi nipo Mwanza, nilienda hapo Halotel ila kwa kweli kama ni yule binti mweupe, ambaye ana kama dred hivi, huyo ni kimeo. Hajali kabisa wateja. Ni kama unamsumbua wakati yupo pale kuhudumia wateja. Na angekuwa mzuri sijui ingekuwaje. Weupe wenyewe wa kujiflash.
Kama ni mke wa boss, basi ahamishwe kwa kweli. Yupo binti mmoja mweusi na brother ambao huwa wanahudumia kwa upendo mkuu.
Inawezekana wewe ndiyo tatizo,
Hapa badala utaje jina lake, unatuambia eti "jina kapuni"
Ukute hata ulipofika pale akakuambia
"samahani kaka, nitajie namba yako iliyopotea"
Bila shaka ulimjibu "namba kapuni"
Kwa hali kama hiyo unatarajia nini.