DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,816
- 30,448
Inategemea sehemu na sehemu
Kwangu HALOTEL IPO OK.
Kwangu HALOTEL IPO OK.
KUMBE SIO MWANACHUO AFU UNALALAMIKA KIASI HICHO, MAANA VYUONI HIZO LINE ZNATOLEWA FREE OF CHARGE.Niwachafue kwa lipi sasa mkuu
Kwani unadhani natumia line ipi kama sio Ya chuo Tena wanauza khali kinoma
Kama unatumia ya chuo basi angalia upya usajili wa hicho chuo,unaweza kuta hata NACTE hawakitambuiNiwachafue kwa lipi sasa mkuu
Kwani unadhani natumia line ipi kama sio Ya chuo Tena wanauza khali kinoma
We wasema. Mimi nikiweka buku internet ya Tigo. Nusu SAA haipiti.Ndo mana nikawatetea.Tena wanajitahidi sana.Labda Simu zenu vimeo.[emoji126] [emoji126] [emoji126]Una haki ya kuwatetea......kama matumizi yako ni (1000) kwa week......sio mtumiaji wa Internet wewe.
TTCL wana huduma ya simu za vijanga? Kama hawana, itakuwa umetania, hapo umepoteza mb's pamoja na mudaHAMIA TTCL