Halotel Mnakera Kwahili Uvumilivu Umenishinda

Ukitaka kujua hawa jamaa ni wezi nunua kifurushi cha usiku pack cha 10GB hata uwe unatumia internet kawaida 10 GB hazikufikishi hata saa 10 alfajiri.
 
was facing the same issue mpaka nikawaeendea pale ofisini victoria.
tangu jumanne nimejiunga kifurushi cha buku MB hadi leo kinapiga tu
 
was facing the same issue mpaka nikawaeendea pale ofisini victoria.
tangu jumanne nimejiunga kifurushi cha buku MB hadi leo kinapiga tu
Du! kumbe hadi uwafuate ofisini sisi tulio mbalimbali na Ofisi zao ni kuachana nao tu, maana hata ukiwatafuta kupitia namba ya huduma kwa wateja huwapati.
 
Wakuu Salaam sanaa bhana hawa jamaa wakati wanaanza waliturubuni sanaa natukaona hapa tumepata suluisho la matatizo yetu ktk mitandao

Lakini kadri siku zinavyo songa mbele wamelewa sifa na kuvurunda kabisa
Unajiunga kifurushi cha 10000 elfu

Kinaisha bila kujua kimeisha vipi Kibaya zaidi mtandao umekuwa taratiibu Yaani polepoleee kama Bwana yule wa lumumba

inakera sanaa Unafungua Kitu Mtandaoni dakika kumi nzima hakifunguki alafu ukija kutizama Mb zimepuputika hatari Sio uungwana huu

Halotel tunaomba mbadilike uchumi saivi umekuwa magumashi msitutumie sisi kuingiza kipato ilhali hamtupi kilicho bora:

Nimewapigia simu wamenipa masaa 24 Tatizo lita kwisha lakini wapi Yaaani unakuwa kama unatumia tecno m3

Upokeeni ujumbe wangu Mnakera mnaboa sanaa sanaa Boresheni uduma zenu kama awali
Mkuu karibu huku kwetu maisha ni rahisi sana achana nao hao.
 
Back
Top Bottom