Tumia nmb mobile mkuu.Ndio.maduka yote hazipo
Bora Vodacom Yetu!Walisifiwa mno mpaka nikanunua sim card yao ila kumbe hakuna kitu
Nimehama tayariSi uhame!?
Tatizo la voda mb ghali sana ila iko vizuriBora Vodacom Yetu!
Yana kera sanaUzuri wa TTCL haina hata yale mameseji ya matangazo sijui promosheni,line yangu ya tigo kwa siku napokea zaidi ya msg 10 za promosheni tu hawa jamaa hovyo sn