Ni karibu week ya pili mtandao wa Halotel unasumbua huku kanda ya Ziwa lakini hamtuambii nini tatizo.
Hebu tuambieni maana MB zetu mpaka zinaisha muda wake network hakuna ikija inakaa dakika kadha inapotea tena
Tunaomna mseme chochote ili tujue

Sio tu huko kwenu hata huku nyanda za juu kusini mtandao unazingua kuna mda unajaza bando linapotea bure inabidi wajitathimini yawezekana server zao zinazidiwa kwa sasa.