Gulio Blog
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,056
- 4,124
Kiongozi mbona mie napewa mb 300 kwa line hiyohiyo ya chuo? ...... something is wrong somewherekwanza nikiri mpaka sasa mtandao unaongoza kwa ya internet ni halotel lakini mnaanza kulewa sifa kwa wanaotumia line ya chuo utaona kifurushi cha sh500 kimeanza kupunguzwa mb badala ya 500mb sasa ni 450mb licha ya hivyo mb zimeanza kuisha fasta
lekebisheni hili
kwanza nikiri mpaka sasa mtandao unaongoza kwa ya internet ni halotel lakini mnaanza kulewa sifa kwa wanaotumia line ya chuo utaona kifurushi cha sh500 kimeanza kupunguzwa mb badala ya 500mb sasa ni 450mb licha ya hivyo mb zimeanza kuisha fasta
lekebisheni hili
Tuwaongeze mkiaWameota mapembe