Tunahamia TTCL tunawaachia limtandao lao libivu TTCL napp wakizingua tunarudi TigoNaona Halotel biashara imewanogea kila siku wanapunguza ukubwa wa bundle, leo ghafla Tshs 1000 unapata MB 300 from 450 and before that ilikuwa 650MB per day. Halotel msitufanye mazoba tena na speed yenu siku hizi imepungua mno tu. Jiangalieni.
Voda bhana kuna kifurushi linaitwa YA KWAKO TU wananipa 1GB kwa elfu 1 per weekWe mdau wa voda eh ivi kumbe voda sahv wapo vizur!!!!! Mi nliisaliti laini
Nahama iseeVoda bhana kuna kifurushi linaitwa YA KWAKO TU wananipa 1GB kwa elfu 1 per week
Hao bado wanajaribu biashara,vodacom treni ishakolea motoNahama isee