Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,722
Tupa simu mkuu halotel ni next level
Daah watanzania sisi tuna shida sana.Nimesikitika sana na hii habari yako.Mimi mwenyewe sio naongea kwa kubahatisha nimetumia mitandao yote kwenye internet ila nilicho kuja kugundua halotel speed yao sio kubwa ila nikwamba inapatikana maeneo mengi hasa vijijini na inakuwa ni full 3G network ila sio kwamba ina speed kubwa watu wanadanganyika.,,nilikuja kuhakikisha hilo nilipokuja kukaa eneo ambalo mitandao yote inashika 3G network nikaja kupima speed ya internet aise Halotel anakimbizwa vibaya sana na Vodacom.
Vp mkuuMchagga feki Wa mjini