kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,861
- 3,098
ha ha ha haSimu lako bovu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ha ha ha haSimu lako bovu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aitel namaanisha simu acha kuhitoa ufahamuAitel kumbe ni mtandao nao!! Na matumizi pia tunatofautiana. Wanaotumia fb hata 2g atasifia kuwa inakasi.
Kweli tumetofautiana uelewa!! Vijana wa Facebook hawaoni tatizo!ha ha ha ha
Andika vizuri usijitoe ufahamu!!Aitel namaanisha simu acha kuhitoa ufahamu
[emoji23][emoji23][emoji23] pole,Niwe mkweri. Kwangu mim halotel kwenye internet ni zero kabsa. Naweza fungua page moja ukapita dakika mbili ndo page inafunguka. Kwenye kudowload speed yake huwa inachezea 0.2kb/s speed ambayo ni ndogo mno
[emoji15] [emoji23] [emoji23]Sasa toka lini songwe ikawa na network kijana
Mchagga feki Wa mjiniKwa hapa nilipo nafurahi na voda tuu speed hadi 7Mb/s. Lkn halotel ni janga. Nikiwek mb 350 hadi zina expire. Viva voda mmenifikia japo ni ghali....
Hi!Wandugu baada ya kuujua huu mtandao hakika nilijua nimepata mkombozi ambaye atanifanya niwe kasi hasa kwenye issue zangu za mtandao. Hii ni wiki ya tano tangu halotel mahala nilipo imeanza kusumbua hakuna cha 3g iliyotulia.
Hili tatizo si kwangu tuu, karibia watu wangu wote wa karibu eneo nililopo wananiambia inazingua yaani bora hata kobe wangu voda ambaye nasikia huko mjini ana kasi ya ajabu.
Mwanzoni mwa mwezi huu niliamua kuwapigia watoa huduma nikaambia internet iko vizuri labda sehemu nilipo ndio kuna shida, nikaahidiwa kwa niaba ya wenzangu kuwa watashughulikia hadi leo kimya. Kinachoniuma zaidi nina bonge la bundle la mwezi sasa sielewi kama.
1. Walikuja na nguvu ya soda sasa wamezidiwa?
2. Kama ni tatizo la muda ndo liwe zaidi ya wiki 3?
3. Au wamekula kidogo kitu ili wapunguze ushindani ktk soko
Ni hayo tu.
Niko mkoa mpya wa Songwe wilaya ya Ileje.