Schoolface
Senior Member
- May 7, 2021
- 156
- 165
Habari wana jukwaa,
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza tarehe 29/1/2022 nilikua nahamisha pesa kutoka halotel kwenda mtandao mwingine kwa bahati mbaya nikawa nimekosea kuhamisha ile pesa nikaamua kuwapigia nilipiga simu zaidi ya mara 4 na haikupokelewa baada ya muda mfupi nikatumiwa ujumbe kuwa muhamala nilio fanya umefail kesho yake tarehe 30 nikapiga simu wakapokea wakanambia tatizo langu wameripoti kwa hiyo wanashughulikia ndani ya masaa 24 nikasema sawa leo tarehe 1 nimepiga simu naambiwa tatizo linashughulikiwa kwahyo ningoje mpaka tarehe 3 ndipo pesa yangu itaweza kuludi swali ni je kama pesa ya mteja ilikua kwenye biashara na kama mnavyojua pesa ya biashara inakua kwenye mzunguko yaani ningoje zaidi ya siku5 ndipo pesa ije je biashara yangu inakua imeathirika kwa kiwango gani.
Pia kwanini mnakua hampokei simu kwa wakati yaani unaweza piga zaidi ya mara 5 na cm isipokelewe tena nyakati za usiku ndo unaweza piga hata mara 10 na wasipokee cm huku mitandao mingine watoa huduma wanakuepo masaa24