Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 21,709
- 51,134
Mimi ndio mwokozi wangu kabisa ipo fresh sanaNyie mnatumia halotel ya jehanam au..? Mbona sijawahi kukutana kadhia za namna hii..😂
Mimi ndio mwokozi wangu kabisa ipo fresh sanaNyie mnatumia halotel ya jehanam au..? Mbona sijawahi kukutana kadhia za namna hii..😂
Eeeh kivipi?hebu nihabarishe na Mimi niingie bure na halotel wanguWaacheni halotel wangu, nikiwa sina pesa hua naingia JF bure kupitia halotel wangu.
Si bora halotel, airtel wana huduma iko kwenye app ya kuhamisha ela kutoka kadi ya visa au mastercard. Nlihamisha pesa ikakatwa kwenye airtel haikufika. Kuwapgia eti wananiambia niwasiliane na kampuni waliyoingia nayo kuhandle hiyo miamala 🤣 sasa nikabaki najiuliza, mimi nachojua natumia huduma yenu, mliyeingia mkataba naye mimi simjui but anyway nikawasiliana nao wakanituma risiti kwa email, nikawatumia airtel wakasema haujafika niendelee kuwasiliana na hao.tatizo la halotel hawapokei simu.
juzi kati nimekosea kufanya muamala nawapigia simu hawapokei, nikajaribu kurudisha muamala wananiambia muamala haupo, mara wanasema sijafanya muamala wowote, nikawapotezea.
baada ya kama siku tatu hivi jitihada zote nimefeli nikaona sms wameirudisha hela.
Pambana nao mm ilini tokea ,Kila nikijaribu kuwapigia wanasema wananitumia token mwisho wa siku baada ya siku ya pili nikaona ni ujinga kusubiri token nikawapigia Tena nikawaambia wanitajie izo token wakafanya ivyo .ila walinizungusha sana ,mara ukipiga cmu anapokea mdada yupo usingizini mara mwingine anakukatia cmu ,ila Hawa jamaa niwasumbufu sana kitengo Cha customer careMimi nilinunua umeme hawakuniletea tokens hadi leo
C unaijua Freebasics.? Hapo kuna web kadhaa za bure ikiwemo JF. Sasa ilikuwa inapatikana kwenye mitandao yote ila wakaitoa ikabaki free kwa halotel.Eeeh kivipi?hebu nihabarishe na Mimi niingie bure na halotel wangu