Hii mitandao jamani kifurushi ni cha elf moja, nimewasha data kama dakika mbili kuzima naletewa ujumbe huu. Hapo nimejiunga kwa elf moja na sio elf tatu
Nilishazuia na sina groups WhatsApp hata status huwa siangalii sana, social media ni fb, jf na WhatsApp tu. chakushangaza kifurushi ni cha buku na sio buku tatu
Umeelewa ujumbe wa halotel na maelezo yangu nimununua kifurushi Cha elf moja ila naletewa ujumbe wa kifurushi cha elf tatu. Napo hapo ni matumizi yangu
Umeelewa ujumbe wa halotel na maelezo yangu nimununua kifurushi Cha elf moja ila naletewa ujumbe wa kifurushi cha elf tatu. Napo hapo ni matumizi yangu