Halotel configuration

Halotel configuration

Natumia huawei y 330 napata internet ya halotel ya alama ya g msaada wa settings ili niweze kupata 3g.natanguliza shukran
 
Natumia huawei y 330 napata internet ya halotel ya alama ya g msaada wa settings ili niweze kupata 3g.natanguliza shukran
Nenda kwenye uwanja wa massage andika neno (Configuration) kisha tuma kwenda namba 15503
Baada ya kutuma subiri kidogo utatumiwa configuration castom install then save wakitaka password ingiza namba 1111
 
Hallo....
Username: halotel
APN: b-internet
Then save na uinjoy mb 5000 bure.. Usipoelewa niulize.
Hivi unaelewa maana ya APN?
Yaani eti kuweka tu APN za halotel unapata internet ya bure? Tena hizo apn ni official kabisa za halotel.

Nimetumia halotel tangu imezinduliwa rasmi na hizo ndizo apn walizonipa tangu mwanzo. Nadhani umekosea tangazo
 
Name: HALOTEL
Apn: b_internet
Then save.

Ila me nimeset hivi;
NAME: Halotel
APN: Internet wap
PORT: 8080
AUTHENTICATION TYPE: Pap
 
Mi nimenunua moderm na kujiunga kifurushi cha mwezi cha bila kikomo, 1GB na MB 800! Eti kutumia tu internet kawaida ,na Facebook, ndani ya siku 10, naambiwa sina salio. Ni washenzi sana
 
Mi nimenunua moderm na kujiunga kifurushi cha mwezi cha bila kikomo, 1GB na MB 800! Eti kutumia tu internet kawaida ,na Facebook, ndani ya siku 10, naambiwa sina salio. Ni washenzi sana

Kwa hiyo hili salio linaisha hivi katika modem tu au mpaka kwenye simu pia..?

Coz nimepanga kununua line yao soon ila mbona kama mnanikatisha tamaa wakuu.

Hebu nipeni muongozo walau.

Thanks.
 
Back
Top Bottom