Halotel configuration

Halotel wameanza kukatakata kam tanesco😡😡😡😡
 
Hakuna cha bure meku ni mwendo wa mbesai asee
 
Naomba Kuuliza jinsi ya kujiunga na halotel net kwenye simu.
 
Hallo....
Username: halotel
APN: b-internet
Then save na uinjoy mb 5000 bure.. Usipoelewa niulize.

Oya mkuu toa maelekezo yanayojitosheleza bhana mbona nimejaribu inagoma?
 
mkuu nifahamishe niko na laptop ndio nataka kutumia hii internet halotel nitapata usb na simu card yake ..
 
NAME: HALOTEL
APN: b_internet

Hapo lazima uweke underscore yaani (_) na si dash ionekanyo hapo juu kwenye red.
Inayotakiwa ni hii ya blue nimeweka hapo.

Mimi nahitaji internet settings za airtel, tafadjali mkuu.
 
tatizo siwaelewi kabisaaa unapokuta kifurushi cha internet bila kikomo na wakati huo ukijiunga unapewa mb 800, wanazingua halotel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…