Halotel configuration

Halotel configuration

Wadau ninaomba mwenye kujua setting za internet za hawa halotel kwenye android phones

Kiongozi si nilishaona kati ya post zako kuwa unatumia huu mtandao na kuwa upo vizuri au ni macho yangu ndugu...?.
 
Nenda ofisi zao au piga huduma kwa wateja.
 
Access name-weka jina lolote.

Apn- b-internet
 
Nimeipata-name(Halotelapn) na APN(internet)
 
Sasa ss tufanyaje wakati hatutumii piga huduma kwa wateja
 
Hawa jamaa wamesha washa minara ila lain zao hatuzioni sokoni sijui kwanini.
 
Wanazindua tar 10 mwez huu.
So tuwe wavumilivu.
Walkataa kuuza laini kabla ya muda kabisa
 
Back
Top Bottom