Haloo Mpenzi... Ndo niko kona ya mwisho hapa..

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Simu inaita, Mdada anapokea, jamaa anaongea kwa sauti ya kishamba hivi ...Haloo mpenz, ndo niko kona ya mwisho hapa...

Mdada ambaye anaonekana mjanjamjanja, anajibu ....Okeeee,... nimekwisha.

Yaani hili tangazo nimegundua kuwa kila memba wa familia yangu analipenda, lakini katika vipengele na sababu tofauti. Mi linanikumbusha siku nakwenda ukweni... Dah

Vodacom bwana...
 
Halafu hawaendani kabisa natabiri hata ndoa haitadumu lol! Mi nimempenda mdogo wake yule ambaya yuko kwenye kompyuta anaonesha ni mtu carefree.
 
Ya, alafu yule haonekani kuwa mapepe kama dada yake...
 
Alafu pale wakamwekea limpenzi fulani, sijui anatokea mkoa gani wa tz yule... unaweza kubashiri?
 
Huyo mwanaume kwenye hilo tangazo anaonyesha kabisa wakati wa kuongea na simu alikuwa directed kuwa haya sasa ongea na simu
 
4 some how haliko poa kama yalivyo yale ya tigo. "Kata baasi... (Kata wewe)"
 
Halafu hawaendani kabisa natabiri hata ndoa haitadumu lol! Mi nimempenda mdogo wake yule ambaya yuko kwenye kompyuta anaonesha ni mtu carefree.

Duh kwani wanaoana ki ukweli si usanii tu wa Vodacom! sema ni tangazo zuri sana.
 
mi ananishangaza tu pale mdada mzima anapomwambia mama yake chumvi haitoshi, najikuta kila wakat namjimu si uongeze?
 
Ha ha ... mi huwa nashangaa inakuwaje yule jamaa na timu yote anaenda ukweni usiku?
 
Simu inaita, Mdada anapokea, jamaa anaongea kwa sauti ya kishamba hivi ...Haloo mpenz, ndo niko kona ya mwisho hapa...

Mdada ambaye anaonekana mjanjamjanja, anajibu ....Okeeee,... nimekwisha.

Yaani hili tangazo nimegundua kuwa kila memba wa familia yangu analipenda, lakini katika vipengele na sababu tofauti. Mi linanikumbusha siku nakwenda ukweni... Dah

Vodacom bwana...

Aisee kumbe tayari ni waifu la mtu
Anyway mi sina hata idea ya hilo tangazo ni la TV au redio
Maana kazi ninazofanya . . . .mmmh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom