EasyFit
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 1,269
- 1,082
Kuna mwenye idadi halisi ya halmashauri zitakazo ongozwa na upinzani.
Hadi sasa hizi ni baadhi ya Halmashauri ambazo ni likely kuwa chini ya Ukawa(Masahihisho yanaruhusiwa)
1. Bukoba mjini UKAWA 9 CCM 5
2. Arush mjini UKAWA 24 CCM 1
3. Arumeru magharibi
4. Arumeru mashariki
5. Monduli
6. Halmashauri ya mji wa Babati
7. Simanjiro
8. Longido
9. Loliondo
10. Halmashauri ya Moshi UKAWA 27 CCM 5
11. Halmashauri ya Manispaa ya Moshi UKAWA 20 CCM 2
12. Haimashauri rombo UKAWA 24 CCM 1
13. Mtwara mjini UKAWA 9 CCM 5
14. Lindi UKAWA 13 CCM 5
15. Kilombero
16. Ifakara
17. Halmashauri ya wilaya ya kyerwa UKAWA 10 CCM 7
18. Mtwara manispaa UKAWA 11 CCM 7
19. Halmashauri ya wilaya ya Kinondoni?
20. Halmashauri ya wilaya ya Temeke?
21. Halmashauri ya wilaya ya Ilala?
22. Halmashauri ya Serengeti UKAWA 18 CCM 12
23. Halmashauri ya hai
24. Halmashauri ya siha
25. Halmashauri ya karatu
26. Halmashauri ya manispaa ya Iringa UKAWA 14 CCM 4
27. Tanga mjini kwenye idadi ya kata pls.
================
Hadi sasa hizi ni baadhi ya Halmashauri ambazo ni likely kuwa chini ya Ukawa(Masahihisho yanaruhusiwa)
1. Bukoba mjini UKAWA 9 CCM 5
2. Arush mjini UKAWA 24 CCM 1
3. Arumeru magharibi
4. Arumeru mashariki
5. Monduli
6. Halmashauri ya mji wa Babati
7. Simanjiro
8. Longido
9. Loliondo
10. Halmashauri ya Moshi UKAWA 27 CCM 5
11. Halmashauri ya Manispaa ya Moshi UKAWA 20 CCM 2
12. Haimashauri rombo UKAWA 24 CCM 1
13. Mtwara mjini UKAWA 9 CCM 5
14. Lindi UKAWA 13 CCM 5
15. Kilombero
16. Ifakara
17. Halmashauri ya wilaya ya kyerwa UKAWA 10 CCM 7
18. Mtwara manispaa UKAWA 11 CCM 7
19. Halmashauri ya wilaya ya Kinondoni?
20. Halmashauri ya wilaya ya Temeke?
21. Halmashauri ya wilaya ya Ilala?
22. Halmashauri ya Serengeti UKAWA 18 CCM 12
23. Halmashauri ya hai
24. Halmashauri ya siha
25. Halmashauri ya karatu
26. Halmashauri ya manispaa ya Iringa UKAWA 14 CCM 4
27. Tanga mjini kwenye idadi ya kata pls.
Halmashauri ya Moshi, CHADEMA madiwani 19 NCCR madiwani 8, CCM madiwani 5
Manispaa ya Moshi, CHADEMA madiwani 20, CCM madiwani 2
Halmashauri ya Rombo, CHADEMA madiwani 24,CCM Diwani 1
================
Baada ya kupata ushindi wa Kishindo katika jimbo la Serengeti yaani Ushindi wa Mbunge Mw. Marwa Ryoba na Madiwani 18 kati ya 30 watakao wawezesha kuunda Halmashauri kwa kupata Mwenyekiti kiti wa Halmashauri kutoka Chadema tangu Uhuru.
Nashauri wawe makini katika Uchaguzi wa Mwenyekiti na napendekeza awe Juma Porini kutoka Natta na Katibu wa Mbunge atoke Ngoreme.
Hii itawezesha mtandao wa Chedema kuenea katika kila kanda za Jimbo la Serengeti na kuhakikisha ushindi wa kishindo tena mwaka 2020.
NB.Kuweni macho sana na Mwenyekiti mstaafu msije mkajichanganya akachukua uenyekiti.