halmashauri ya musoma tuletewe mkurugenzi mwingine

Shahed kamikaze

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
575
959
Mkurugenzi wa sasa mama myovela ni mpole mno hii inafanya mambo mengi kutokwenda vizuri

Ofisi ya afisa utumishi ni ya ovyo kabisa wana majibu mabaya hadi inakatisha moyo

Idara zingine kama elimu hali iko hivyohivyo

Hii halmashauri inatakiwa isafishwe.
 
Back
Top Bottom