KERO Halmashauri ya Ilemela, Kada ya Ualimu hatujapata Fedha za Kujikimu

KERO Halmashauri ya Ilemela, Kada ya Ualimu hatujapata Fedha za Kujikimu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni mtumishi wa Serikali Mkoa wa Mwanza, Halmashauri ya Ilemela, Kada ya Ualimu, mimi na watumishi wenzetu walioajiriwa Mwaka 2026 Januari hatujapata fedha za kujikimu mpaka sasa.

Tulijaza fomu za malipo mwezi wa 9 na tukaambiwa halmashauri zilishaingiziwa fedha kwa ajili ya kuwalipa watumishi ila mpaka sasa hakuna malipo yaliyofanywa.
 
Back
Top Bottom