Halmashauri na YONO kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Halmashauri na YONO kulikoni?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gerald, Mar 27, 2011.

 1. Gerald

  Gerald JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 290
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wana JF naomba kujua kuna taarifa zilitangazwa wakati waziri wa uchukuzi kwa jina sifahamu ila nilisikia kwenye magazeti na TV kuwa YONO wastop kukamata magari na pia aliwapa kazi idara husika kusimamisha mkataba na YONO na jukumu zima kubeba wao sasa imekuaje tena wamerudi barabarani? na kwa mikataba ipi?

  sasa kinachofanyika ni iki wakikukamata wanakuandikia Faini
  1. Ukalipe halmashauri 2.0cc faini yake ni 45,000 then unarudi YONO nao unawalipa 29,000 ndio unapata kibali cha kuchukua gari yako pia cc zikiwa juu kama 2.5 cc ni 90,000 na yono nae anakutoza yake

  Maswali yangu ni haya
  1. kwanini mamlaka husika wasifanye hiyo kazi? na walishambiwa na waziri husika wasitisha mkataba na YONO
  2. kwanini ulipe faini kwa kampuni mbeli tofauti?
  3. je sheria inasemaje kwa wano jua naomba mtujuze

  Je hii ni haki wana JF? anaye jua zaidi huu udhalimu atujuze
   
 2. P

  PSYCHOLOGY Senior Member

  #2
  Mar 27, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda wapewe Majembe...hao Yono wababaishaji.
  Wameshitakiwa sana tangu 2004 wakati wanakamata kamata hovyo magari ya wananchi wa jijini Dar. Haikua kazi ya kufuata sheria...rushwa zilikuz wazi wazi...kunyanyaswa wananchi...kumbe ilikua mbio za kugombea ubunge huko wilaya ya iringa...wananchi uchaguzi huu wamempiga chini.
  Siwezi kushangaa hilo jukumu akipewa tena ...ubabaishaji ni mwingi kwenye sehemu za ulaji.
  Ngoja watuambie member wengine.
   
Loading...