Halmashauri chini ya CHADEMA zaongoza kwa rushwa

Ni wapi uliona ccm walijenga ofisi yao zaidi ya ofisi za mfumo wa chama kimoja?ujinga ni kama ugonjwa ukipata tiba unapona,CHADEMA haina polis,takukuru,usalama taifa wala mahakama,vyote hivyo viko chini ya ccm,ukiona RAIA Y3YOTE anavunja sheria na haguswi na mamlaka jua dola hiyo ni mfu,ikiwa wewe hujui hilo huo ni ujinga wako usituambukize werevu,malinzi akamatwe aachwe lema,kisa ni cdm
 
Acha unafiki , uongo na utambue kwamba kusema uongo na kuuwa ni dhambi sawa, h/mashauri gani ya Chadema inaingoza kwa rushwa!? Waziri mkuu amezunguka nchi nzima amekagua maendeleo na kusifia h/mashauri za Chadema kwamba zinafanya vizuri ktk miradi ya maendeleo na kuwasifia wabunge wake, leo unakuja kuandika uongo humu ili wakuone au mkuu akuone baadae akupe ajira!? Acha huo ni ushamba!!!
 
Waziri mkuu amemsifu mmoja tu John Heche acha kupotosha watu.

Arusha ni wala rushwa tupu
 
Hii ndiyo sababu ya chadema kushindwa kujenga ofisi yao??
 
Waziri mkuu amemsifu mmoja tu John Heche acha kupotosha watu.

Arusha ni wala rushwa tupu
Hivi ww wanao kula rushwa ni watumishi wa Chadema au wa serikali ya ccm?
Na wabunge na madiwani wa Chadema wanapoingilia ili kuzuia ulaji wa rushwa wanakamatwa na wakipeleka ushahidi wa rushwa Takukuru wanakataa sasa ni nani anafuga rushwa!?!
 
Hivi ww wanao kula rushwa ni watumishi wa Chadema au wa serikali ya ccm?
Na wabunge na madiwani wa Chadema wanapoingilia ili kuzuia ulaji wa rushwa wanakamatwa na wakipeleka ushahidi wa rushwa Takukuru wanakataa sasa ni nani anafuga rushwa!?!
Lini wamezuia rushwa alafu wakakamatwa huko Arusha.?
 
Lini wamezuia rushwa alafu wakakamatwa huko Arusha.?
Arusha rushwa ilianzishwa na mkuu wa wilaya kununua madiwani, Ushahidi ukapelekwa Takukuru wakakataa na yeye kupandishwa kuwa mkuu wa mkoa!!!
 
Arusha rushwa ilianzishwa na mkuu wa wilaya kununua madiwani, Ushahidi ukapelekwa Takukuru wakakataa na yeye kupandishwa kuwa mkuu wa mkoa!!!
Madiwani wa chadema ni malofa hadi wanunuliwe??
 
Akili yako mbaya sana, sijui kama una majukumu yoyote wewe. Halmashauri na CDM zinahusiana nini? Narushwa iko wapi au idara gani zinazoongozwa na CDM? Hivi una akili kweli, sasa kama rushwa iko Mahakamani, Idara Afya, Polisi, Idara ya Ardhi CDM wanahusika vipi? Acha upoyoyo wewe. Sema Idara za selikari Halmashauri za Arusha zinaongozo kwa Rushwa. Mjinga kweli kweli.
 
hawa takukuru waliomgwaya mtoa rushwa wa wazi mnyeti nii wa kuwatilia maanani!!!!
usitupotezee mda na watu wa ovyo
 
hawa takukuru waliomgwaya mtoa rushwa wa wazi mnyeti nii wa kuwatilia maanani!!!!
usitupotezee mda na watu wa ovyo
Chadema mnapenda kujiona nyie ni malaika hamkosei,
 
Ingependeza kama ungefungua uzi kuhusu swala lako kwasasa naomba tujadiri hili kwanza la rushwa.
Unakwepa ufisadi? Eleza ni kwanini wafanyakazi wanagoma kwa madai ya kutolipwa mishahara wakati awamu hii inajigamba kuwa ni awamu bora ilihali inadhulumu wananchi?
 
Hili ndo jibu la halmashauri zinazoongozwa na Chadema kula rushwa. Halafu kuna majuha wanne wamekupa like as if ulichoongea kinajibu hoja ya msingi.
Nimepewa like kwa kuwa nilichoandika kinakidhi matakwa ya waliowengi na kwenye mapenzi ya dhati na nchi. Sio watu wachache wenye kuiharibu nchi kwa kudhulumu wafanyakazi mishahara yao.Watu wachache/kikundi cha watu chenye lengo la ufisadi kwa mwamvuli wa "mniombee"
 
Mimi tangu bwana mmoja atuhumiwe kwa rushwa na akapandishwa cheo ghafla,niliivulia kofiä serikali inayochukia rushwa na ufisadi.
 
Hii inaondoa ukweli kwamba chadema ni wala rushwa huko Arusha??
Kwani mwenyemamlaka katika mkoa ni Mbunge? Ufisadi na uhujumu uchumi wa Taifa unafanywa na ccm. Ukitaka uthibitishe hilo basi fatilia kesi za ufisadi pale KISUTU utabaini makada wako wa ccm wanakesi mbalimbali za upigaji mfano Escrow nk.
 
Wenyewe wako bize kutetea mafisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…