Isije akawa ana diploma ya historia na kiswahili ya mandaka alafu akaunga unga akasoma degree mbuyuni university - moshiKwa akili yako tu jaribu kutafakari jambo hili dogo,
1. Mwalimu wa shahada ya kwanza (Digrii ya somo la biashara au BEDCOM) kutolewa sekondari na kupelekwa kufundisha shule ya msingi katika somo la "Haiba na michezo". Hivi hapo ni kuboresha Elimu au ni kuipeleka ICU?
Kwa mjibu wa tume ya kupambana na rushwa (Takukuru) mkoani Arusha imetangaza kuwa halimashauri mkoani humo zinaongoza kwa rushwa nchini.
Hili ni jambo la kusikitisha sana hasa ukizingatia kuwa halimashauri hizi ziko chini ya chama kikuu cha upinzani nchini kinachojinasibu kupambana na rushwa na ufisadi.
Ikumbukwe chadema imekuwa ikitawala Arusha kwa miaka 10 sasa kupitia mbunge na madiwani wengi lakini kumbe ni wala rushwa watupu.
TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa
TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa – Millardayo.com
My take.
Mara zote nimekuwa nikisema ni heri zimwi likujualo (ccm) haliwezi kukula na kukumaliza kuliko zimwi jipya (chadema) ambalo ni wala rushwa tupu na hawana huruma na mtu
Hii inaondoa ukweli kwamba chadema ni wala rushwa huko Arusha??
Usiwe mjinga TAKUKURU ni taasisi ya serikali,serikali yetu ipo chini ya ccm,TAKUKURU haiko kwa ajili ya wala rushwa ccm tu,bali popote walipo ni wajibu wa serikali ya ccm kupitia TAKUKURU iwakamate,ukiona hilo halifanyiki basi jua hapo hakuna rushwa,au serikali yoooote ni corrupted,,,chukua hili kajisomee usitutie aibu mara ingineHicho ndiyo kichaka cha chadema kuficha ulaji rushwa wao?
Ulishawahi kujiuliza kwa nini chadema haina ofisi miaka 25 sasa?Sijaamini bado....CCM is capable of anything sinister...as of now,nai-treat hii kama ni hujuma za CCM,maana wao wanaweza chochote kuiharibia Chadema Arusha!
Siiamini kabisa,wamepika kila kitu na ripoti na kila kitu!Kama mtu anaweza ua mtu kwa risasi nyingi na kuiba sanduku la kura na kwenda kuweka kura ndani na kurudisha kituoni,ashindwe kitu kidogo hicho?Siamini asilani....
Chadema nawapa 100% pass on this kua wamehujumiwa 100% kutokana na prior asinine treatment of this govt to these helpless parties.Kwa hilo tu,siamini chochote hapo,kabisaa!
Mbona uelewa wa chadema uko chini sana??Usiwe mjinga anaekaribia upumbavu, TAKUKURU ni taasisi ya serikali,serikali yetu ipo chini ya ccm,TAKUKURU haiko kwa ajili ya wala rushwa ccm tu,bali popote walipo ni wajibu wa serikali ya ccm kupitia TAKUKURU iwakamate,ukiona hilo halifanyiki basi jua hapo hakuna rushwa,au serikali yoooote ni corrupted,,,chukua hili kajisomee usitutie aibu mara ingine
Hili ndo jibu la halmashauri zinazoongozwa na Chadema kula rushwa. Halafu kuna majuha wanne wamekupa like as if ulichoongea kinajibu hoja ya msingi.Wafanyakazi wa "STANDARD GEUGE" wamegoma kwa madai ya mishahara. Sasa hizo mbwembwe za kwamba mnajenga kwa fedha za ndani zimeishia wapi? Au zimeishia kununulia madiwani na wabunge wa upinzani?
Ulishawahi kujiuliza kwa nini chadema haina ofisi miaka 25 sasa?
Ulishawahi kujiuliza kwa nini pesa za ruzuku hazifiki kwenye matawi ya chadema??
Na haya ni hujuma za ccm?
Takukuru wamemwaga ushahidi huko Arusha ,unataka ushahidi gani ??Chadem haina ofisi?Mbona unakua muongo ndugu yangu?Why you are so dishonest like this?
Ofisi wanayo,walivyoipata na umiliki wake wala sio ishu muhimu hapa.Walipewa bure,walifadhiliwa,wanaishi bure,etc ni imaterial here.Huwenda Chadema kumiliki a piece of real estate sio priority as of now,I can understand that.You should too!
Ruzuku hazifiki una vielelezo na vidhibitisho mkuu?Na hela kufika huko ni mipango yao ya matumizi waliyokubaliana,hoja labda kama kuna wizi labda ndio ulete ushahidi hapa na vilelezo.Tusiishie kutoa innuendos tu,tuweke vithibitisho basi.
Na pia,Chadema sio tajiri kama CCM,kuzicompea tu matumizi yao ni ukichaa uliopitiliza.Hata ruzuku ya CCM na Chadema wanazopokea serikali ni tofauti kama mbingu na ardhi!
Chadema kama isingekua inaongozwa kwa kufuata fiscal laws to some extent kisingekuwepo hapo,kingekua disfunctional party financially,kingekua kishakufa 100%..
Cha msingi ungekua na vielelzo vyako hapa vinavyoonesha faulu zilizomo Chadema za fiscal sabotages na sio tuhuma tu.Ni kwa mfano mi nitoe tuhuma hapa kua wewe ni shoga,ningetakiwa nitoe ushahidi wa wazi kabisa,kama sina,my claims remains senseless na malicious tu!
You are better than this!
Takukuru wamemwaga ushahidi huko Arusha ,unataka ushahidi gani ??
Wewe unayemwani ni Mbowe tu hapa dunianiTakukuru ndio ya kuamini?
Mkuu try again.Au kadanganye watoto!
Mimi ni mtu mzima,nina akili kama wewe na yeye!
takukuru hii hii inayosema Mnyeti hajafanya kosa aongezwe cheo?Really?
Mnadhani watu watoto eee?
Wewe unayemwani ni Mbowe tu hapa duniani
Machadema yakipewa elfu hamsini yanahama chama hovyo sana, ila siyashangai
Ingependeza kama ungefungua uzi kuhusu swala lako kwasasa naomba tujadiri hili kwanza la rushwa.Wafanyakazi wa "STANDARD GEUGE" wamegoma kwa madai ya mishahara. Sasa hizo mbwembwe za kwamba mnajenga kwa fedha za ndani zimeishia wapi? Au zimeishia kununulia madiwani na wabunge wa upinzani?
Umemuelezea vizuri sana asipokuelewa atakuwa ni zuzuMleta mada mjinga tu! Yaani unaitukananisha mamala za kupambana na rushwa kuwa hazitendi na kutekeleza majukumu yao ipasavyo siyo? Nani msimamizi wa makusanyo na fedha za ruzuku kwenye hizo halmashauri kama siyo wakurugenzi walioteuliwa na ccm? Nani mkuu wa wilaya hizo kama siyo wateuliwa wa ccm? Nani mkuu w mkoa huo kama siyo mteule wa ccm? Wameahindwa kazi siyo?
Madiwani na wenyeviti wa halmashauri siyo wakusanyaji wa mapato bali maafisa watendaji ambao ni wateule na waajiriwa wa ccm! Bora umesema kweli kuwa hao wateule wa ccm kazi imewashinda na wafukuzwe kazi kwa kuiendekeza na kuilea rushwa kwenye maeneo yao! Kukurupuka hadi unawashtakia ccm wenzako!