Hallow

nyambiJr

New Member
Jan 25, 2011
3
0
Hallo wana jamii mi mkulima wa Mihogo maeneo ya mkuranga.
Naomba unikaribishe na hoja motomoto
 
Karibu sana jamvini, tunasubiri hizo hoja motomoto hapa ndio mahali pake.
 
Better late than never, usije ona wana jamii hawajakukaribisha vizuri, pole kuchelewa but karibu sana jamvini na hoja motomoto zipo nawe unakaribishwa kuziweka jamvini. KARIBU SANAAAAAAAAA.
 
Back
Top Bottom