Hallotel ovyo sana

Hallotel ovyo sana

Samahanini nifahamishwe kitu hapo juzi kati niliamua kuhamia halotel baada ya kuweka ile line ikawa haikai h+ wala 3G kila nikiwapigia simu wanaelekeza kwenye settings nafata maelekezo lkn ikawa bado ikabidi nikaenda kwa branch yao sio mbali na napokaa wakanirekebishia ikapanda h+ kiukweli insta, fb nilikuwa nakimbiza kwa ufasta wa internet yao lkn cha ajabu whatsapp sasa nikimtumia mtu msg haimfikii kwa muda kwan namtumia labda saa 4 asubuhi lkn mtu unamuona yupo online anaingia anatoka lkn ile msg nilotuma haimfikii wala za kwao haziji kwangu, Sasa nikaitoa hiyo halotel nikarudisha line yangu ya tigo cha ajabu zile msg zikawafikia na zile walizonitumia pia zikanifikia, Nilipo irudisha tena line ya halotel kwa Mara nyingine km kawaida imegoma kusoma network haipandi chochote, Lkn mbona line za tigo na voda hata nikichange mara ngapi 3G inapanda kama kawaida, halafu je halotel ni haikai 3G hata ikisetiwa inakaa h+ ni kwa nn eti au ni kwa sababu ya aina ya simu yangu labda coz natumia Samsung note111, mwenye uelewa anifahamishe tafadhali
3g=wcdma/umts
h=hspa
h+=hspa+

wcdma ni 3g za mwanzoni kabisa ina speed ndogo na haili sana chaji wakati hspa ina speed kubwa na inakula sana chaji.

hivyo simu kukaa h+ muda wote si jambo jema kama unavyofikiri sababu na chaji nayo inakimbia.

simu inatakiwa irudi 3g pale ambapo huitumii kusave chaji.
 
Sawa nimekupata ndugu ngoja ntaingia kule kurekebisha upya, Ahsante
 
kinazingua tangu ijumaa asubuhi alafu ukipiga huduma kwa wateja wanakwambia zima simu alafu washa......yani kuna vilaza mule sijaona kila ukipiga jibu lilelile tuu
Kwa upande wa Huduma kwa wateja hallotel 0 ukiwapigia cm wao wanakupigia miziki
 
Naona watu wakishambulia,na wengine wakisema walewale.kitu ambacho halo ni tofauti na wengine internet yao haipotezi H+ na Ina speed kali xana na kingine bunde per day ni 24hr.waweza kusema halotel ndo best internet provider xaxa,hutaweza kulinganisha na smart coz coverage yao ipo nchi nzima minara ka 25000.mtandao mpya uzoefu mpya
Kwa hilo hallotel%100
 
Mim nilpoona mtandao mpya unaanza na mb 2..3 nikajua tayari ,hata chuoni kuna welcome first year pia
 
Back
Top Bottom