Samahanini nifahamishwe kitu hapo juzi kati niliamua kuhamia halotel baada ya kuweka ile line ikawa haikai h+ wala 3G kila nikiwapigia simu wanaelekeza kwenye settings nafata maelekezo lkn ikawa bado ikabidi nikaenda kwa branch yao sio mbali na napokaa wakanirekebishia ikapanda h+ kiukweli insta, fb nilikuwa nakimbiza kwa ufasta wa internet yao lkn cha ajabu whatsapp sasa nikimtumia mtu msg haimfikii kwa muda kwan namtumia labda saa 4 asubuhi lkn mtu unamuona yupo online anaingia anatoka lkn ile msg nilotuma haimfikii wala za kwao haziji kwangu, Sasa nikaitoa hiyo halotel nikarudisha line yangu ya tigo cha ajabu zile msg zikawafikia na zile walizonitumia pia zikanifikia, Nilipo irudisha tena line ya halotel kwa Mara nyingine km kawaida imegoma kusoma network haipandi chochote, Lkn mbona line za tigo na voda hata nikichange mara ngapi 3G inapanda kama kawaida, halafu je halotel ni haikai 3G hata ikisetiwa inakaa h+ ni kwa nn eti au ni kwa sababu ya aina ya simu yangu labda coz natumia Samsung note111, mwenye uelewa anifahamishe tafadhali