karibu sana...umejiunga lini?
kama kawaida!bwashee mwenyeweMkuu umesahau kumuuliza kaswali ketu ka siku zote kuhusu jinsia.
are you SHE?..........kaswali gani hako?
Mkuu umesahau kumuuliza kaswali ketu ka siku zote kuhusu jinsia.
wandugu habari nimejiunga na forum hii maridhawa nahitaji ushirikiano wenu