shukran rure! bt me si bro, ni sis!
ahsante mwafrika! sasa mwenyeji wangu niingie na viatu au niache mlangoni!
Karibu sana jamvini, acha viatu mlangoni!
sasa mgeni niingie na viatu au nivue@katavi& mwafrika , !
sasa mgeni niingie na viatu au nivue@katavi& mwafrika , !
Kwa ruhusa ya mfagiaji wa chumba cha wageni, mwafrikahalisi, ingia na viatu!