Hallo friends......hodi mpaka ndani....

Hallo friends......hodi mpaka ndani....

Angella

Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
10
Reaction score
2
Hallo friends, nabisha hodi naomba kufunguliwa mlango ili nami niingie rasmi ndani ya JF family.......wenyeji mpoooo?

Wish you all pasaka njema.
 
karibu sana ingia mpaka ndani uone uzuri wa jamii forums.....unaweza kutuma posts on topics mbalimbali,unaweza kutoa topics na kutuma private sms to anyone....karibu sana tupo pamoja.....:hug:
 
karibu sana ingia mpaka ndani uone uzuri wa jamii forums.....unaweza kutuma posts on topics mbalimbali,unaweza kutoa topics na kutuma private sms to anyone....karibu sana tupo pamoja.....:hug:

Thanks sana Jockey, nimeshaanza kuona uzuri wa JF, sasa hivi natembelea maeneo mbali mbali ndani ya jumba hili kucheki mpangilio wa mambo.
 
Karibu sana, usisahau kusoma kanuni na sheria za jamvi.
 
karibu ndani ya JF...kuwa huru ku-comment on any topic n ku-post new topics...tunategemea mengi frm u.....:hug:
 
pull the triger..... pull the triger ...... pull the triger..... boooo....!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom