Halima Mdee wenye akili timamu tumekulewa

Kweli sasa hivi hamna tena kelele. Awamu iliyo pita wote walikua wanaponda kila siku
Mnaona nongwa nyie wafuasi wa kinjekitile. Sasa hivi Mama anakwenda vizuri.

Roho zinawauma Mama kusifiwa
 
Halima Mdee na wenzie 18 tumesikia malalamiko yenu baada ya rufaa zenu kutupiliwa mbali na kufukuzwa uanachama wa Chadema kuwa maamuzi ya kuwafukuza yalifanywa kihuni.
Yes hiki ndicho kilichofanyika ni uhuni mtupu!
Mnasema mliteuliwa kihalali na hao Wahuni walio wafuta uanachama kihuni lakini wakati wakiwateua hamkuwaona kuwa ni Wahuni?
Halima Mdee amesema kilichofanyika ni uhuni, usimlishe maneno kuwa ameita watu wahuni!. Ni kweli wamefutwa uanachama kihuni. CC ya Chadema haina mamlaka ya kumjadili Mwenyekiti wa Bawacha wala kumfuta uanachama. Mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu na uanachama anafutwa na Mkutano Mkuu. Hiyo CC na Baraza Kuu walipata wapi mamlaka?.
Mlikubali kwenda ktk mkutano kusikiliza rufaa za kesi mlizo peleka huku mkijua kuwa wanao sikiliza rufaa zenu ni Wahuni walio wateu ninyi kwenda Bungeni kihuni.
Wakikubali kwenda kwa kutegemea wangetendewa haki,kumbe ni uhuni mtupu!.
Lakini ktk rufaa zenu mlishindwa kuonesha uhalali na ushahidi pasi na shaka kwa wajumbe kuwa ninyi mliteuliwa kihalali na Chama chenu na hamana hatia yeyote.
Kanuni ya ushahidi dunia mzima ni he who alleges must prove!. Hakuna forgery yoyote teuzi ni legit bonafide genuine.
Kwa kifupi ni kuwa kama walio wafuta uanachama ni Wahuni basi ni Wahuni hao hao ndio walio wapeleka Bungeni ninyi. Kwahiyo hakuna haja ya kulalamika mlipelekwa Bungeni kihuni na mmefutwa uanachama kihuni vilevile.
Endelea kulisha...
P
 
Yes hiki ndicho kilichofanyika ni uhuni mtupu!

Halima Mdee amesema kilichofanyika ni uhuni, usimlishe maneno kuwa ameita watu wahuni!. Ni kweli wamefutwa uanachama kihuni. CC ya Chadema haina mamlaka ya kumjadili Mwenyekiti wa Bawacha wala kumfuta uanachama. Mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu na uanachama anafutwa na Mkutano Mkuu. Hiyo CC na Baraza Kuu walipata wapi mamlaka?.

Wakikubali kwenda kwa kutegemea wangetendewa haki,kumbe ni uhuni mtupu!.

Kanuni ya ushahidi dunia mzima ni he who alleges must prove!. Hakuna forgery yoyote teuzi ni legit bonafide genuine.

Endelea kulisha...
P
kama Magufuli na ukabila wake hakukuchagua kokote pamoja na kumtukuza Kwa miaka mitano....sidhani kama awamu hii utaupata huo unyakuo
 
Yes hiki ndicho kilichofanyika ni uhuni mtupu!

Halima Mdee amesema kilichofanyika ni uhuni, usimlishe maneno kuwa ameita watu wahuni!. Ni kweli wamefutwa uanachama kihuni. CC ya Chadema haina mamlaka ya kumjadili Mwenyekiti wa Bawacha wala kumfuta uanachama. Mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu na uanachama anafutwa na Mkutano Mkuu. Hiyo CC na Baraza Kuu walipata wapi mamlaka?.

Wakikubali kwenda kwa kutegemea wangetendewa haki,kumbe ni uhuni mtupu!.

Kanuni ya ushahidi dunia mzima ni he who alleges must prove!. Hakuna forgery yoyote teuzi ni legit bonafide genuine.

Endelea kulisha...
P
Mayalla - Njaa
 
Hii nambari MOJA ilisababisha nikakosa imani na Chadema na Mbowe,

Mbowe alifanya usaliti mkubwa sana kwa sisi tulioamini kwamba wala rushwa na mafisadi hawana nafasi ktk chama chetu cha Chadema

Lakini kumbe Mwenyekiti wetu ANAFIKIKA BEI
Huko ccm walikojaa mafisadi unawaamini?🤣
 
Ata ivo ukisha kuwa mwanasiasa uongo ndo mtaji wako
 
Kusema kweli ndugu yangu hakuna mtu mwenye akili anaweza kumwamini Mbowe ni kujidanganya tu
Kama huna akili peke yako usisemee nafsi za wenye akili hata yule mwehu alilijua ndiyo maana akaghushi chaguzi kwa sababu alijua Mbowe ni jembe.
 
Amecheza karata zake vibaya akiamini jiwe ataishi milele. Pole yake Mbunge wangu wa zamani Kawe.
 
Back
Top Bottom