Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,152
- 11,749
Inasikitisha sana. Kwa maoni yangu katika wote hao ni Matiko ndio ninaemsikitikia sana. Na Jesca. Nadhani hawa walikuwa bado na mapenzi na Chadema na hawakutegemea kufukuzwa.Matiko anaenda Tarime anaishia kuhutubia watoto wa primary school
Umati wote uliokuwa unampigania haupo tena.
Tamaa ni kitu kibaya sana
Amandla...