Halima Mdee: Nasikia kuna watu wanasakwa wapotezwe

Halima Mdee: Nasikia kuna watu wanasakwa wapotezwe

Kawe ni jimbo lenye wasomi wengi Tanzania..huku hakuna kuonga kanga na T shirt..[HASHTAG]#Halima4life[/HASHTAG]
Tembea uone, naposema kawe simaanishi kawe pale kawe tu unapokaa wewe. Tembea mpaka huko boko, bunju, madale, nyakasangwe, mabwepande ndio utaelewa na huo usomi wake wananchi wanavyo mkataa mdee siku hizi.
Msomi usiejitambua ndio maana una slogan za somebody for life. Msomi alafu [HASHTAG]#Halima4Life[/HASHTAG]? Ufipa mna kazi ya ziada si ajabu usomi huu hamuwezi chukua nchi. Alafu ukute wewe ndio wanakuita JEMBE huki ufipa.
 
Huo utafiti umefanywa lini? Unajua idadi ya kura alipata 2015 na 2010? Hapo ni pamoja na wizi Wa kura Wa wazi
Naongelea current situation mzee,utafiti nenda maeneo anayoongoza ukafanye wewe apo uje na majibu, uzri wake uchaguzi son unakuja utajionea nayokwambiq
 
Naongelea current situation mzee,utafiti nenda maeneo anayoongoza ukafanye wewe apo uje na majibu, uzri wake uchaguzi son unakuja utajionea nayokwambiq
Utabiri usio na tofauti na Wa waganga Wa kule Gamboshi
 
Enyi kizazi cha nyoka mbona kila siku mnazusha tu mambo hata kama hayapo kwanini msikae kimya? Mnapungukiwa na nini mkinyamaza?

Mnatuchosha sanaa watanzania wenzenu KWA makelele yasiyoisha ya kuzusha kila uchwao.

Pambaf. Hujui usemalo. Ngoja yakukute wewe ndipo utakapojua. Jinga wewe.
 
Hivi ndivyo alivyoandika Mbunge wa Kawe, Mhe.Halima Mdee katika mtandao wa twitter:

NASIKIA kuna WATU wanasakwa WAPOTEZWE....MUNGU ni MKUBWA watapotea WAO kabla hawajapoteza wengine!! Kama ushuhuda wa LISSU juu ya UKUU wa Mungu haukuwafunza...ENDELEENI TU! Tunawajua.

Amesikia wapi huyu dada...inawezekana amesikia kutoka kwa watu wenye mawazo kama yake...ni propaganda za kitoto
 
Enyi kizazi cha nyoka mbona kila siku mnazusha tu mambo hata kama hayapo kwanini msikae kimya? Mnapungukiwa na nini mkinyamaza?

Mnatuchosha sanaa watanzania wenzenu KWA makelele yasiyoisha ya kuzusha kila uchwao.
Mkuu m2020, wewe ndie unaetakiwa kukaa kimya kama huelewi kinachoendelea. Leo hii amani imepotea, watu wasio na hatia wanakamtwa, wanateswa na kufungwa bila kosa, wengine wanapotea, wanauwawa, hakuna Uhuru was kujieleza, katiba inakanyagwa, vyombo vya dola vimepoteza mwelekeo. Halafu tukae kimya!?..
 
Enyi kizazi cha Mndee,vifilisu, Vizito na vyepesi

Mtapata tabu sanaaa
 
Enyi kizazi cha nyoka mbona kila siku mnazusha tu mambo hata kama hayapo kwanini msikae kimya? Mnapungukiwa na nini mkinyamaza?

Mnatuchosha sanaa watanzania wenzenu KWA makelele yasiyoisha ya kuzusha kila uchwao.
Hata Lissu mlibeza hivyohivyo mwisho matokeo tunayajua.
Ben Sanane nae alisema na akatoa na hadi namba kama kawaida yenu kwakuwa mnaamini hao hawana haki ya kuishi kwa sababu hawavai nguo za kijani mkabeza huku mkiwatuma watu wenu wakafanya yao mpk leo Ben amebaki historia. Kwa hiyo ndugu kaa kimya maana we we upo salama na guo lako la kijani ila wanaopigwa waache walie japo boss wako alipiga marufuku hata kulia Rejea vyuma kukaza. Nasikia now hamuweki kwny sandarusi tena wanapotea for ever. Uzuri no kuwa hata Firauni alionja mauti so hata nyie mtakufa japo mnawatanguliza wenzenu then tutakutana kwa hakimu was haki. Amen
 
Wewe Halima kazi kupiga domo tu mtandaoni , tokea uchaguliwe hujawahi kufanya mkutano hata mmoja wa hadhara jimboni kwako .
Una uhakika au unabwabwaja tu?Wajinga nchi hii ni wengi,mnaongea kwa hisia!
 
Amesikia wapi huyu dada...inawezekana amesikia kutoka kwa watu wenye mawazo kama yake...ni propaganda za kitoto
Fatuma Karume na Maria Sarungi wanafuata sidhani kama ni kwa risasi, nafikiri mtindo utabadilishwa kidogo Majambazi?
 
Wewe Halima kazi kupiga domo tu mtandaoni , tokea uchaguliwe hujawahi kufanya mkutano hata mmoja wa hadhara jimboni kwako .

Una wivu wa kike halina tuko nae sana kawe we tunduru kwenu halima anakuhusu nin?
 
Mbona haiendani na mada iliyoletwa, mnafikiriaga kwa kutumia nini nyie
Hiki.ulichokisema.ww ndio kinaendana na nilichoandika? Mbona umepanick?? Sisi tunafikiria kwa kutumia hicho kinacho mstress huyo alie nje ya ndoa. Anachokitafuta ndio sisi tunatumia kufikiria. Kama bado unawashwa njoo tena....
 
Back
Top Bottom