Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,712
- 287,556
Heshimu wakubwa dogoHapana.
Heshimu wakubwa dogoHapana.
Wakimuua baba yako kwa bahati mbaya usije kulia jf ikumbuke siku hiiEnyi kizazi cha nyoka mbona kila siku mnazusha tu mambo hata kama hayapo kwanini msikae kimya? Mnapungukiwa na nini mkinyamaza?
Mnatuchosha sanaa watanzania wenzenu KWA makelele yasiyoisha ya kuzusha kila uchwao.
Si umesema kwa bahati mbaya?Mimi nilijua makusudi.Hiyo bahati mbaya anaweza gongwa hata na gari,ungua na moto nyumbani nk.So sioni hoja ya mcng hapoWakimuua baba yako kwa bahati mbaya usije kulia jf ikumbuke siku hii
muda unakimbia sana kuna watu watakimbia jinsia zao mungu yupo anaonawanaoona mbali walisema huyu mtu hatafuata katiba. matokei yake tunayaona. natoa rai viongozi wote wanaousaidia serikali hii jpm akiondoka madarakani wote wakamatwe na kuswekwa ndani kwa kutomshauri rais kuingoza nchi kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi time will tell.
Kawe ni jimbo lenye wasomi wengi Tanzania..huku hakuna kuonga kanga na T shirt..[HASHTAG]#Halima4life[/HASHTAG]Ameandika Yericko Nyerere:
SIASA ZINAZOFANYIKA MAJIMBONI, UKIPATA UMAARUFU MITANDAONI SIO TIKETI YA USHINDI.
Huyu ni kada wa chadema ambaye akili imemrudi. Link yake hii hapa.
BOFYA HAPA KUMSOMA YERICKO NYERERE.
Inatakiwa kamanda Mdee ajue hili la sivyo 2020 Kawe inampiga chini.
Mama yake akwilina atakutana na wewe ndotoni Leo utanielewa!Si umesema kwa bahati mbaya?Mimi nilijua makusudi.Hiyo bahati mbaya anaweza gongwa hata na gari,ungua na moto nyumbani nk.So sioni hoja ya mcng hapo
CCM imezuia siasa kwa uogaWewe Halima kazi kupiga domo tu mtandaoni , tokea uchaguliwe hujawahi kufanya mkutano hata mmoja wa hadhara jimboni kwako .
Huko ufipa sikuizi mmekuwa wapiga ramli na sio wajenga hoja.Yani mshaanza kuishi maisha ya kufikirika.Mama yake akwilina atakutana na wewe ndotoni Leo utanielewa!
Mungu akutangulie na akushuhudie kwamba kujinasibisha na siasa na wanasiasa ni bora kuliko utu!Huko ufipa sikuizi mmekuwa wapiga ramli na sio wajenga hoja.Yani mshaanza kuishi maisha ya kufikirika.
Hakuna kufuru kama kumtaja Mungu kwenye siasa uchwara tena hizi za bongo.Jadili siasa na uje na hoja za mashiko sio kutafuta sympathy za kijinga kupitia MunguMungu akutangulie na akushuhudie kwamba kujinasibisha na siasa na wanasiasa ni bora kuliko utu!
Siasa iwe ibada kwako kwa kufumbia macho dhuluma siku likikufika lia na Dada yako!
Hata kwa Peter. Zakaria mlisema hivi hivi!Enyi kizazi cha nyoka mbona kila siku mnazusha tu mambo hata kama hayapo kwanini msikae kimya? Mnapungukiwa na nini mkinyamaza?
Mnatuchosha sanaa watanzania wenzenu KWA makelele yasiyoisha ya kuzusha kila uchwao.
Sawa kabisa uko salama kwakuwa unawaza kama washika dola swali langu kwako ukoo wako wote uko salama? Kwa kizazi hiki? Kama wote mnawaza sawa basi MNA gerentii ya usalama kwa miaka 7 toka sasa beyond that ni majaliwaHakuna kufuru kama kumtaja Mungu kwenye siasa uchwara tena hizi za bongo.Jadili siasa na uje na hoja za mashiko sio kutafuta sympathy za kijinga kupitia Mungu
Nyamaza mkuu ni muda wao mungu ameumba nyakatiHata kwa Peter. Zakaria mlisema hivi hivi!
Enyi kizazi cha nyoka mbona kila siku mnazusha tu mambo hata kama hayapo kwanini msikae kimya? Mnapungukiwa na nini mkinyamaza?
Mnatuchosha sanaa watanzania wenzenu KWA makelele yasiyoisha ya kuzusha kila uchwao.
SenselessItafikia hata vivuli vyenu mtakuwa mnavikimbia mkidhani vimetumwa viwauwe..hiyo paranoia sasa.