Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,960
- 129,134
Enyi kizazi cha nyoka mbona kila siku mnazusha tu mambo hata kama hayapo kwanini msikae kimya? Mnapungukiwa na nini mkinyamaza?
Mnatuchosha sanaa watanzania wenzenu KWA makelele yasiyoisha ya kuzusha kila uchwao.
Hata Lissu alisema kuna gari linamfuatilia nyie mlioko kwenye kivuli au mnaofaidika na huu uovu mlijitokeza na kusema hivihivi. Leo Lissu mwili umejaa makovu ya risasi na nyie wa kivulini mkiendelea kusema hawa wengine ni wazushi.