Halima Mdee: Nasikia kuna watu wanasakwa wapotezwe

Halima Mdee: Nasikia kuna watu wanasakwa wapotezwe

Endapo watafanya hila na njama za kumdhuru anti Fetty..wanzanzibar watakuwa radhi kujitoa muhanga
 
Waliopigia kula huyu Gumegume nao wapimwe tu akili mtu kutwa ni Vijembe mitandaoni
 
Stress za ndoa waweza kuwa Nazo wewe unayetegemea mume akununulie gauni na Sidilia, sio kwa MTU kama Halima mwenye kipato cha ubunge na uwakili.
Kwa taarifa yako anao uwezo Wa kumuoa mwanaume akitaka Wa kuishi naye
Umejuaje kama ana uwezo wa kuoa mwanaume?? Thibitisha humu kama umeshapigwa ndoa, mi kwangu huyo hata duniani tubaki mm na yeye....halafu acha kuvamia vamia kujibu jibu wanaume humu kwa kumtetea huyo mwanamke mwenzio
 
Wewe jamaa kweli pumba kabisa mantiki ya uo upupu uliouletea link ni nini?
Kuona mantiki lazima uwe na akili, hata akili ya la nne inatosha. Ukiona huelewi ujue mama yako alizaa na kulea boya.
 
Hivi ndivyo alivyoandika Mbunge wa Kawe, Mhe.Halima Mdee katika mtandao wa twitter:

NASIKIA kuna WATU wanasakwa WAPOTEZWE....MUNGU ni MKUBWA watapotea WAO kabla hawajapoteza wengine!! Kama ushuhuda wa LISSU juu ya UKUU wa Mungu haukuwafunza...ENDELEENI TU! Tunawajua.
Wafanyiwe timing mapema
 
Bange hizo zinamtuma aone hivyo
 
Umejuaje kama ana uwezo wa kuoa mwanaume?? Thibitisha humu kama umeshapigwa ndoa, mi kwangu huyo hata duniani tubaki mm na yeye....halafu acha kuvamia vamia kujibu jibu wanaume humu kwa kumtetea huyo mwanamke mwenzio
Nawaza jibu lako silipati, ngoja nikuache tuu dada
 
Nawaza jibu lako silipati, ngoja nikuache tuu dada
Umesahau kama.mm.mumeo?? Swala la mm kukupa mimba ndio linakuwazisha mpaka unakosa jibu?? Kama.pesa za matunzo ya mtoto si nitakupatia shida nn nn?? Unalazimisha hadi nikuoe ndio unizalie mtoto?? Unanisikitisha sana chakaza wangu kumbuka nimekuvumilia kabla hata hujavunja ungo leo hii umekua unataka hadi nilipe mahali ndio unizalie?? Basi leo njoo tena tuongee vizuri nimekununulia cheni nzuriii ya kiunoni chakaza wangu ya dhahabu sio kama ile uliyoavaa juzi ulipokuje home.
 
Nao si wameanza kutekwa, ya Tarime mmeyasahau walivyoangukia pua.
 
Watu hatukumwelewa Kingunge aliposema huyu mtu anafaa kuwa nyapara na si kuongoza nchi.
 
Back
Top Bottom