Halima Mdee inawezekana unamtetea mjukuu wa Mkulu kama sio wa Hapi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Sio wa hao tu, lakini ni pamoja na wajukuu /vitukuu wa hawa wengine wote wanaokushambulia humu mitandaoni na kwingineko.

Alipo Halima Mdee,yupo mtoto wa kike; na alipo mtoto wa kike,yupo Halima Mdee.

Wengi wamezaliwa waishi katika huu ulimwengu; wachache wamezaliwa ili huu ulimwengu uwe sehemu nzuri ya wengi kuishi.
 
Hivi wabunge wa ccm wao malaika na Wapinzani wao mashetani? Sioni wabunge wa ccm wakiwekwa selo .

Ndukiiiii

Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app
 
Dunia ni duara na "vyeo" ni dhamana! Inawezekana katika kuzunguka kwa dunia iko siku walioko mbele wakajikuta wako sehemu ambayo hawakuitarajia! Nani hawakumbuki kina Mobutu Seseseko 'kuku ngwenda wa zabanga'? Nani leo wamemsahau Pinochet? Je Aquino? Yote ni maisha mwisho wa siku kila mmoja atahojiwa kwa nafasi yake aliyatumia vipi mamlaka yake.
 
CCM wanaamini watakuwa madarakani milele
 
Dunia ni duara na "vyeo" ni dhamana! Inawezekana katika kuzunguka kwa dunia iko siku walioko mbele wakajikuta wako sehemu ambayo hawakuitarajia! Nani hawakumbuki kina Mobutu Seseseko 'kuku ngwenda wa zabanga'? Nani leo wamemsahau Pinochet? Je Aquino? Yote ni maisha mwisho wa siku kila mmoja atahojiwa kwa nafasi yake aliyatumia vipi mamlaka yake.
Dua la kuku
 
Sio wa hao tu, lakini ni pamoja na wajukuu /vitukuu wa hawa wengine wote wanaokushambulia humu mitandaoni na kwingineko.

Alipo Halima Mdee,yupo mtoto wa kike; na alipo mtoto wa kike,yupo Halima Mdee.

Wengi wamezaliwa waishi katika huu ulimwengu; wachache wamezaliwa ili huu ulimwengu uwe sehemu nzuri ya wengi kuishi.
Jicho la haraka huwa halioni ulichoandika mkuu, tukihemkwa "tunajisahaulishaga!" kwa sababu wako wanaoguswa sio sisi! Sisi ni wale tunaoishi ulimwengu mwingine si huu wenu hivyo hizo athari hazitatugusa kwa maana sisi ni wateule.
Tunajisahaulisha kwamba katika maisha kila mmoja anamtegemea mwingine! Hatuwezi zuia mabinti/vijana wetu kuolewa au kuoa wanaowapenda badala ya machaguzi yetu!! Ndio maana wengi tunaishi kwa "KUDHANI" kwa maana uwezo wetu wa fikra umeishia hapo! Huwa sishangai wanaposema "tunadhani kufanya hivi ndio sahihi..." Kauli zetu zinafika mbali "... wanaodhaniwa kuwa majambazi... nk!"
 
Ni kama ambavyo hawakuona athari za mikataba na sheria mbovu za madini kwa miaka zaidi ya 19.

Wenye akili walipowashauri waliwabeza leo hii migodi inakaribia kufika ukoma ndio eti wanahangika kusahisha makosa yao.
 
Walipo wasagaji Halima yupo pia?

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
 
Hivi wabunge wa ccm wao malaika na Wapinzani wao mashetani? Sioni wabunge wa ccm wakiwekwa selo .
Huna kumbukumbu sahihi, angalia unaweza kuwa na kichwa cha mhenga.

Ndukiiiii

Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app
 
Ni kama ambavyo hawakuona athari za mikataba na sheria mbovu za madini kwa miaka zaidi ya 19.

Wenye akili walipowashauri waliwabeza leo hii migodi inakaribia kufika ukoma ndio eti wanahangika kusahisha makosa yao.
Na wanasahihisha makosa kwa kufanya makosa mengine!!
 
Magufuli mwenyewe ana watoto kwenye familia yake waliobebeshwa mimba wako nyumbani.

tena alisema binti mmoja kwenye familia yake alibebeshwa mimba na kujifungua mtoto akapewa jina la john.

Sasa huyo halima mdee mpaka ukubwa wake huu hajazaa nyumbani yeye anataka watoto wa wenziea wazae tu!
 
Back
Top Bottom