Doctor Mama Amon
Platinum Member
- Mar 30, 2018
- 2,311
- 3,514
Wangefaaa kama wangekubali kutengeneza kiki za kutishiwa iliwakaishi ugaibuni na kucahafua taifa. Sasa wamegomea huo mchezo mchafuu.Hakuna haja ya kukataa rufaa, hawatakiwi kwenda bungeni kushiriki kwenye bunge la wezi wa kura na wamwaga damu fullstop.
Wangefaaa kama wangekubali kutengeneza kiki za kutishiwa iliwakaishi ugaibuni na kucahafua taifa. Sasa wamegomea huo mchezo mchafuu.
Wataenda tu maana wanalindwa na Spika.Asante kwa matusi, ila ni hivi hawatakiwi kwenda kwenye hilo bunge. Ni kipi hakieleweki hapo?
Ni kweli, ila sio kama wabunge wa cdm.Wataenda tu maana wanalindwa na Spika.
Inasikitisha sana kuona wenzetu wa cdm wamemwamini mwanamama "mcharuko" wa namna hii kuwaongoza wanawake wote wa cdm taifa. βΊYaani Halima James Mdee ndio Kiongozi mkuu wa akina mama wa Chadema!
Akajifunze utulivu kwa mama Sophia Simba wa CCM!
Demokrasia mfukoniMzee Halima Mdee na Covid-19 wenzio wote mmeshakua "ZILIPENDWA"....
Wote wawili wakiiwakilisha CCM.Halima na Rashid bungeni
Tukiwaita vibaraka mnabisha nani anachafua Taifa kati ya Magufuli na wanaoondoka? Ipo siku mtayajutia ayo manjaa yenu.Wangefaaa kama wangekubali kutengeneza kiki za kutishiwa iliwakaishi ugaibuni na kucahafua taifa. Sasa wamegomea huo mchezo mchafuu.
Tatizo bei iliyotumika kuwanunua ndiyo wanahofia watairudisha vipi.Hakuna haja ya kukataa rufaa, hawatakiwi kwenda bungeni kushiriki kwenye bunge la wezi wa kura na wamwaga damu fullstop.
Hawajajistukia badoMzee Halima Mdee na Covid-19 wenzio wote mmeshakua "ZILIPENDWA".
Kaeni chini mjitafakari na mjiKumbushe mlipotoka na mnapoelekea. kati ya "CCM" au "WANACHAMA WA UPINZANI"(Mlio Waasi) nani aliewapigania baada ya hii issue kutokea??? Mkalazwa hospitalini mkiwa "MAHUTUTI" na kutibiwa kwa "PESA ZA WANACHAMA WA UPINZANI na MAOMBI YA VIONGOZI WA DINI WAPENDA HAKI".
Leo hao wanachama wa upinzani pamoja na hao viongozi wa dini wanaopenda haki kwenu hawana maana, na mnajali matumbo yenu.
#Baada ya hapo, ndio mtajua mna roho za aina gani wewe na wenzako.
Mdee, Bulaya, Jacob, Kileo, Mwago na Asenga Wanashikiliwa Polisi Sitakishari, wadaiwa kufanya fujo Segerea
Habari wana Jamvi, CHADEMA watangaza habari mbaya usiku huu. NUKUU:- CHADEMA wameongea na waandishi wa habari usiku huu kutoa taarifa kuhusu waliokamatwa leo wakati wameenda kumtoa Mwenyekiti Wao (Freeman Mbowe). "Halima Mdee na Meya Jacob wamepigwa wameumizwa sana na wapo kituo cha polisi...www.jamiiforums.com
Wanavuta time ili waendelee kupokea mshahara....!!Hawa wabunge wa gereji wameisha kitambo mnoo.