Halima Mdee hastahili 'kutendwa' vile

Pole Dada Khalma Vinevecha Il Ni Isanga Du
 
Is a freedom of nation when everybody is equally on eyes of the laws.
 
Wanajaribu kutisha umma kwa kuwajengea uwezo wa kuogopa vitisho, safi sana kateni mti mliokalia tukutane wakati mnaanguka nikiwa ninapanda
 

Watakumbuka shuka asubuhi.Huyu wamempa ujiko usiokifani.Hongera HALIMA MDEE tupo pamoja nawe kwenye sala
 

Mkuu hivi kazi ya kuhakiki wadhamini ni kazi ya mshitaki/mdai au ni kazi ya Mahakama??? mm sio mjuzi wa sheria nijuze
 
Kazi ya Upolice Tanzania ni ngumu mno - sidhani kama mimi ningeiweza - kufanya kazi bila kupewa chance ya kufikiri.

ili ufanikiwe kuwa polisi wa tz inabidi uwe na tabia kama za mbwa!
 
Put a frog in a vessel of water and start heating the water.

As the temperature of the water rises, the frog is able to adjust its body temperature accordingly.


The frog keeps on adjusting with increase in temperature...

Just when the water is about to reach boiling point, the frog is not able to adjust anymore...

At that point the frog decides to jump out...

The frog tries to jump but is unable to do so, because it has lost all its strength in adjusting with the rising water temperature...

Very soon the frog dies.

What killed the frog?

Many of us would say the boiling water...

But the truth is what killed the frog was its own inability to decide when it had to jump out.

We all need to adjust with people and situations, but we need to be sure when we need to adjust and when we need to confront/face.

There are times when we need to face the situation and take the appropriate action...

If we allow people to exploit us physically, mentally, emotionally or financially, they will continue to do so...

We have to decide when to jump.

Let us jump while we still have the strength.

Think on It !!
 
Hakika mzee nakupa hongera sana kwa uchamburi mahili lati kama wenzako wangekuwa kama wewe hakika tanzania sasa tungekuwa tunafikiria vitu vingine na si hivi vya kupelekana segarea

uchamburi ,lati?? kwenye umeelemewa na mahaba
 
Polisi wanatumika sana, hawajagundua hilo na mbaya zaidi wanatumika kuipaisha CDM.
 
Mbona watumishi wa uma wanakuwa misukule ya ccm?
 
Kuhakiki ni utaratibu wa kawaida kwa mahaka,
inawezekn mjia tu yameandwa lkini hawakuwa na tarifa kuwa wao ni wadhamini,
Acha upotoshaji

acha uongo ukisha thibitishwa na ama mtendaji au ofisi unayofanyia kazi hakuna uthibitisho zaidi ya huu, hata sisi huwa tunadhamini anaekuthibitisha ni mtendaji wa eneo lako,issue ikiwa kubwa ndo wanaitaji mtu yeyote aliye ajiriwa kwenye taasisi inayotambulika
 
Halima Mdee hakutendewa haki;
Pengine ilikuwa janja ya serikali ili kupunguza attention ya kukabidhiwa katiba mpya;

Ila siyo vizuri alivyofanyiwa dada/mama mwenzetu;
Hakutendewa haki kabisa, wapi kosa la kumsweka ndani na dhamana kukataliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…