LOOOK
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,453
- 786
kama watanzania wote wakiwemo wana ccm na wanachadema na vyama vyote pia wakiwa wanajadili mambo kwa uhalisia wake nadhani tungekuwa tunapata viongozi waadilifu sana tena sana. Tatizo kubwa na linalo nipa shida ni ile hali ya kujadili mambo kiitikadi! Nimeipenda comment yako mkuu ten sana.Wajua Mtani kila mtu na anavyoangalis Taifa letu linapoelekea, kwa wengine tunaona mwisho wa hili si mzuri.Hatukuhitaji serikali ziwe ngapi tulihitaji japo safari hii watawala watusikilize kilio chetu, hatuhitaji tena viongozi wasio na uwezo, wezi, wala rushwaill mafisadi leo ndio hawa wanatuletea maelekezo yao kwamba nyie watawaliwa hamjui mkitakacho ila watawala wanajua.Ndiyo sababu yote ya kumweka Mtani wangunhuyu huko KEKO!