Halima Mdee hana jipya

Halima Mdee hana jipya

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Nini sababu ya mbunge kutoka Kawe ''HALIMA MDEE'' Kuwa kimya kiasi hicho, maana yake ni kwamba hana jipya? au yeye hafanyi kazi na media ila anafanya kimya kimya?

Binafsi natilia shaka uwezo wa Halima Mdee kama anaweza kushindana kwa hoja na Mbatia japokuwa alimbwaga kwenye uchaguzi mkuu uliyopita, BILA USHABIKI Mdee alishinda uchaguzi uliyopita sababu ya chama chake kuvuma sana si kweli kwamba alikuwa ana hoja nzito kushinda Mbatia..........

Halima Mdee atarudi kweli bungeni mwaka 2015?
NAWASILISHA.
 
Anayefaa kugombea pale Kawe ni Mushumbushi nasikia ndiye anayeandaliwa kugombea.Ikiwa assumption yako ni kweli basi Wagombea wengine wa Chadema wangeshinda Majimbo yote yaliyobakia lakini kwanini Chadema walishinda mawili tu Jijini Dar es salaam?
 
Sawa kachukue mshahara wako lumumba makosa mliyofanya Ccm kwa miaka 50 mnataka chadema wayamalize kwa miaka 3 hilo aliwezekani na kama wewe ni mwana kawe utakuwa ni shahidi Mdee amejitahidi sana kuboresha miundomini afya na elimu bila kusahau mgogoro wa ardhi huko twiga cement
 
Hahahaha! Wewe ni mgeni katika mambo ya siasa ndugu kwa hiyo kaa kimya tu ili halima mdee aendelee kupiga kaz. Sisi tunamuona anapiga kaz kama kawa
 
Kwisha habari yake hata afanye nini bidhaa isiyo na soko imeisha muda wa matumizi.
 
Debe tupu haliachi kutika. Halima sio debe tupu mpaka asemeseme ovyo
 
Sawa kachukue mshahara wako lumumba makosa mliyofanya Ccm kwa miaka 50 mnataka chadema wayamalize kwa miaka 3 hilo aliwezekani na kama wewe ni mwana kawe utakuwa ni shahidi Mdee amejitahidi sana kuboresha miundomini afya na elimu bila kusahau mgogoro wa ardhi huko twiga cement

Chadema mkipewa nchi mtavurunda then mtakuja na stori ya kipuuzi ya ccm kukaa madarakani miaka 50
 
uchaguzi ulifanyika 2010 aliyeshinda ameshinda mwacheni afanye yake. unayesema subiri 2015 sijui hata kama utafika maana ARVS unayotumia haitakufikisha.
 
Hivi mlitegemea awanyie nini mlichomwomba awafanyie? Mengi amejitahidi na wananchi wa Kawe wanayafahamu. Kilichobaki ni daraja la waenda kwa mguu kutoka mbezi beach A kuvuka mto mbezi kwenda Kawe. Diwani wa kata ya Kawe (CCM) alituahidi atalishughulikia lakini hadi wa leo hatujaona chochote. Matatizo ya ardhi amejitahidi sana ila kasri la mchungaji Lwakare pale bahari limemshinda kubomoa.
 
HUWA HAMFATILII NDIO MAANA KWENYE OPD DADA ANAPGA KAZI KAMA HUJUI MULIZE MSINGWA.
¤¤halima upo juu CHAPA KAZI TUPO PAMOJA LUMUMBA WASIKUKATISHE TAMAA¤¤
 
Back
Top Bottom