Halima Mdee: BAWACHA Tumepanga kuingia msituni

Nawaunga mkono hata mimi nipo tayari kwenda msituni, magamba mna ujinga sana.

Hata mimi namuunga mkono kamanda mpiganaji Halima mdee..nami nitaungana nao kuingia porini huko msituni...magamba ni mashenzi mno
 
... Msalani Inawezekana Akili Yako Iko Msalani Inakata Gogo
 
haki ya mungu msalani ni punguani yaani hana akili hata kidogo aisee!!!mungu na mtume hyu ni box kichwani

Hana adabu kabisa! Ukiona mtu anatoa mambo machafu jua tu kwamba huyo ni mchafu "Msalani"
 
... Kilichabaki Ni Kuingia Mstuni Tu Na Siyo Kingine
 
Kasema Sii kupigana vita wewe akili ndogo ya ccm bali KUPATA WANACHAMA WAPYA WA RIKA ZOTE!wenzako wanakunywa chai kikombe buku 10 dodoma, wewe unalipwa buku 7 kutwa nzima

hahahaha! decent answer.
 

mbona unaweweseka? mitutusa ya Lumumba utaijua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…