utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Mbunge wa Kawe Halima James Mdee amesema kuwa chama chake na BAWACHA wanajiandaa kuingia msituni wanaingia msitu kwa msitu, pori kwa pori na kijiji kwa kijiji ili kwa muda wa Miezi miwili ili kuhakikisha CHADEMA inasonga mbele na kuenea Tanzania nzima ili kuitoa CCM madarakani.
Amesema kuwa wanawake na vijana wanamuamini hivyo atawaongoza Vizuri na hatawaangusha na wameshafanya kikao tayari na kupanga ratiba ya ziara ili kumkomboa mtanzania.
Chanzo: Habari ITV
Amesema kuwa wanawake na vijana wanamuamini hivyo atawaongoza Vizuri na hatawaangusha na wameshafanya kikao tayari na kupanga ratiba ya ziara ili kumkomboa mtanzania.
Chanzo: Habari ITV